Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyewahi kumuona hata huyo mdudu kwa macho dunia hii...Acha siasa ,, unajua virus vina diameter ya ukubwa gani na condom ina vitundu vya ukubwa gani ,,
Ndugu zangu tuwe makini Condom ni biashara tu na wala hazizuii UKIMWI kwa asilimia (%) zote. ukitaka kuukwepa UKIMWI:
1. Kuwa mwaminifu kwa mkeo/mumeo AU
2. Acha ngono kabisa.
vitundu vya condom ni 0.5 wakati virusi ni 0.4 so probability ni kubwa sanaAcha siasa ,, unajua virus vina diameter ya ukubwa gani na condom ina vitundu vya ukubwa gani ,,
uongo k vp kma anae ongea ni doctor unataka ni muamin nanBasi ndo ujue sasa ulkua unajua taarifa za uongo before.
Io 0.5 ni nini?.....Weka units tukuelewe basi.vitundu vya condom ni 0.5 wakati virusi ni 0.4 so probability ni kubwa sana
Siyo Mwasilika bali ni Mwathirika.Tatizo sio matundu,bali namna unavyofanya ngono hata kama umevaa,huwezi kuzama chumvini kwenye k ya mwasilika halafu utoke salama kwa asilimia hata 10 tu,
huwezi ukavua condom baada ya tendo na uvae nyingine kwa round ya pili bila kushika uume na mikono iliyolowa uteute wa k ya mwasilika
Ndugu yangu nakusihi upige magoti Umshukuru sana MUNGU aliyekunusuru na janga hili la UKIMWI.Usitudanganye watu wengi wangekuwa wagonjwa leo kama condom zisingezuia ukimwi mkuu,mimi mwenyewe nimelala na wanawake kama 50 hivi ambao nusu yao ni dada poa kabla ya kuamua kuoa na bado nipo negative.
mkuu uko makini kwelikweli.....Siyo Mwasilika bali ni Mwathirika.
Nimeishatubu na kuomba msamaha kwa muumba mkuuNdugu yangu nakusihi upige magoti Umshukuru sana MUNGU aliyekunusuru na janga hili la UKIMWI.