Je, Corona itabadilisha Siasa za Tanzania maana imepiga kuanzia Vatican, UK, USA, Uchina hadi Ujerumani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Najiuliza tu kwa kuwa hayo mataifa niliyoyataja ndio wafadhili wakuu wa vyama vya siasa nchini kuanzia CCM, Chadema hadi ACT wazalendo.

Baadhi ya vyama siyo rahisi kusimama vyenyewe bila ufadhili na hasa ukizingatia ruzuku itakata rasmi mwezi June.

Natafakari tu wakuu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa mwaka mmoja Ufadhili wao ni kiasi gani,michango ya wanachama ni kiasi gani na ruzuku ni kiasi gani kwa CCM,Chadema na ACT wazelendo?
Ukiweza kuyajibu hayo utaonekana mtu mwenye utimamu wa akili na sio clown anayerukia kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kumwomba Mungu virusi vya corona vishambulie hao magaidi maana wao ndiyo wafadhili wakuu wa CHADEMA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…