Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

wataalam wanasema kifo kizuri kuliko vyote ni kulipukiwa na bom la nyuklia ukiwa ndani ya mzunguko wa 100 m

kabla haujahisi chochote unakua umeshafutika duniani..

Note: sio kufa, bali kufutika kabisa
Aiseeeeee hii nimeipata na nimeikubali
 
Aliyewahi kuwa Askofu Mkuu wa KKKT The Late Askofu Dr Sebastian Kolowa, wakati anafariki "nasikia" alishuka kwenye kitanda alichokuwa amelazwa akapiga goti akasali akashukuru Kisha akapanda kitandani akalala usingizi wa mile. Mungu naomba mwisho mwema
Hakua Askofu wa kkkt
 
Dada yangu mpendwa aliomba biblia akamuita mtoto wa mjomba akamuambia tusali

Kweli aliletewa biblia akasali akaomba msamaha kwa kila mtu alivyomaliza kuomba msamaha alilala usingizi wa milele
 
Back
Top Bottom