Je, damu ya hedhi inaweza kusababisha maambukizi ya VVU?

Sijaelewa hapo mkuu niliimanisha damu yangu mm kama mwanamke inaweza sababisha kupata virusi endapo mwanaume ana HIV ?
haswaa kwa mwanamke ni rahisi sana kupata maambukizi sababu ya maumbile yao ukibleed kabisa chance ni 100% kama mwanaume ana maambuziki na kinga haikutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…