mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
Jipe moyo tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kila mtu angekuwa na virus mzeee
nachojua maambukizi ya vvu sio rahis kama wengi wanavyofikiria hata kama hujavaa condom
haswaa kwa mwanamke ni rahisi sana kupata maambukizi sababu ya maumbile yao ukibleed kabisa chance ni 100% kama mwanaume ana maambuziki na kinga haikutumikaSijaelewa hapo mkuu niliimanisha damu yangu mm kama mwanamke inaweza sababisha kupata virusi endapo mwanaume ana HIV ?