kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au Halmashauri kuwa Jiji. Issue ya eneo fulani kuwa jiji ni jambo la ndani ya nchi au kuna standard za kimataifa?
Kwa kuwa Dar itakuwa Mkoa, je sifa, hadhi yanazopewa majiji Duniani na ambazo baadhi ya sifa huambatana na miradi tutaipata kwa kupitia Ilala?
Gharama na faida zilizotokana na ukubwa wa jiji la Dar ukilinganisha na gharama za uendeshaji kipi kikubwa kithamani?
Hatuoni kwamba tunawaachia Nairobi, Kampala na majiji mengine kuchanja mbuga huku speed ya kukua kwa Dodoma ikiwa hairidhishi?
Naona hasara kubwa kuliko faida kuvunjwa kwa jiji la Dar, tusingepaswa kuwaangalia madiwani wasiofika hamsini,tulipaswa kuona tunanufaikaje na jiji la Dar?