YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Meya wa jiji la Dar ni meya hewa kifupi cheo chake ni cha kitapeli cha meya wa mameya wa Dar es salaam hakuna cheo kama hicho duniani!! sababu kama kila halmadhauri ya dar ina meya wake huyu meya wa mameya anayejiita meya wa Jiji la Dar es salaam hicho cheo kakiokota wapi?
Hadi aitwe meya wa jihi zima wakayi kuna mameya kila eneo? hivi hiki cheo cha meya wa mameya wa Dar es salaam cha huyu anajiita meya wa jiji nzima nani alikitunga?
Hadi aitwe meya wa jihi zima wakayi kuna mameya kila eneo? hivi hiki cheo cha meya wa mameya wa Dar es salaam cha huyu anajiita meya wa jiji nzima nani alikitunga?