kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Hadhi ya jiji/majiji sio fixed term.Ninachotaka wandugu ni kuwekana sawa. hivi ni vigezo gani vinavyotumika hapa Tanzania kuifanya baadhi ya miji kuwa majiji?...
Asante umefafanua vizuri shida ni kwamba watu Wana bisha tu,badala ya kuuliza wafafanuliwe.Tatizo watu hawajui faida yake ila ni maamuzi mazuri sana, Halmashauri ya Jiji la Dar ilikuwa kama urembo tu kwani haikuwepo kiuhalisia hivyo kuna wafanyakazi na wanasiasa walikuwa wanafaidi mihela tu, Unakuta Meya wa Kinondoni huyo huyo kashinda kuwa Meya wa Jiji la Dar yaani ni upuuzi mtupu...
Huwa vinazingatiwa, isipokuwa kuna wakati Kunakuwa Kuna umaalumu, mfano Kama halmashauri ya jj ya awali Kwanza kieneo ni ndogo Sana,hiyo inaweza ikawa imeiipa credit ilala kupewa hadhi kwa sababu ya ukubwa wa eneo.sababu nyngne inaweza kuwa kupanua mji, n.k.Ninachotaka wandugu ni kuwekana sawa. hivi ni vigezo gani vinavyotumika hapa Tanzania kuifanya baadhi ya miji kuwa majiji?...
Utapeli mtupu ndani ya ccmTatizo watu hawajui faida yake ila ni maamuzi mazuri sana, Halmashauri ya Jiji la Dar ilikuwa kama urembo tu kwani haikuwepo kiuhalisia hivyo kuna wafanyakazi na wanasiasa walikuwa wanafaidi mihela tu...
Kwani hayo mmeyaona leo hii?Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni: Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Halmashauri ya Manispaa ya Temeke Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni SASA Ukiangalia hapo juu kulikuwa kuna chombo tu kinaitwa HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM Lakini chombo hicho hakikuwa na eneo rasmi LA kiutawala kwa maana nyingine halmashuri ya jiji haina ARDHI inayoitawala
Wanavyo mfukoni tuNinachotaka wandugu ni kuwekana sawa. hivi ni vigezo gani vinavyotumika hapa Tanzania kuifanya baadhi ya miji kuwa majiji?...
Kupanua mji upi ?huwa vinazingatiwa,isipokuwa kuna wakati Kunakuwa Kuna umaalumu,mfano Kama halmashauri ya jj ya awali Kwanza kieneo ni ndogo Sana,hiyo inaweza ikawa imeiipa credit ilala kupewa hadhi kwa sababu ya ukubwa wa eneo.sababu nyngne inaweza kuwa kupanua mji ,n.k...
Kwanza unamaanisha nini kusema Dar es Salaam INAKUWA Mkoa? Sababu haijawahi kukoma kuwa Mkoa. Mkoa wenye Halmashauri za Manispaa.Kwanza ningependa kujua vigezo vinavyotumika Duniani kuupandisha hadhi mji au halmashauri kuwa jiji. Issue ya eneo flan kuwa jiji ni Jambo la ndani ya nchi au Kuna standard zakimataifa?..
Kabla ya kuvunjwa kwa Jiji zilikuwa Wapi? si zilikuwa Ndani ya Jijij la DAR na bado zipo jiji La DAR yaani Iliyokuwa ILALAItabidi mipaka ya wilaya ibadilishwe iendane na jina linavyotaka. Utasemaje Chanika na kinga'z kwa godoro ni jiji?