Je, Dar es Salaam watu wamekubaliana kukaa nyumbani?

Je, Dar es Salaam watu wamekubaliana kukaa nyumbani?

Tumeambiwa tufanye kazi na kuchukua tahadhari. Tahadhari ni pamoja na kuacha au kupunguza kusafiri na kubaki nyumbani.

Watu wamejiongeza. Tusisubiri amri ya serikali. Baadhi ya waajiri wamesha amrisha wafanyakazi wao kubaki kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wamefanya vizuri, maana huwezi jua itakuaje
 
Back
Top Bottom