Je, dawa ya COVID19 ya Madagascar imedunda? Mji Mkuu wa visiwa hivyo, Antananarivo wawekewa lockdown kwa mara nyingine

Tanzania watu wanazikwa wakiwa hai kwa sababu hakuna vipimo, kabla ya Covid-19.

Sasa leo utajuaje ugonjwa hauui watu kama hata kupima hatupimi?
 
Anamalanga ni mji uliopo katikati mwa Madagascar na ndipo mji Mkuu wa Antananarivo ulipo. Taarifa zinathibitisha kuwa mji huo uliopo katikati kabisa umeathiriwa sana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 kiasi cha Serikali ya Nchi hiyo kuamua kufungua kwa siku 15 kuanzia Julai 6 hadi Julai 20 ,2020.
Huu huenda ikawa ni ushahidi kuwa COVID-ORGANICS inahitaji utafiti zaidi.
 
Kwani hatukutuma ndege na jopo la mawaziri kuchukua dawa na zikafikishwa nchini kwa bashasha na vigeregere kibao
 
Ile ni dawa sio kinga, ko usidhani inazuia maambukizi!
Kama mna dawa lockdown ya nini siunawapa wagonjwa tu wanapona ukiona wanaongezeka ina maana hakuna dawa ndiyo maana wenye ugonjwa hawaponi na wanawaambukiza wengine
 
How the **** do we keep survive this shit? While our neighbours crumble and a country that dared to oppose WHO is now back into quarantine.

How do we do it?
Last week WHO walionya kuwa tusishangae hali ikageuka tete karibun hapa. Kuna baadhi ya viongozi wanatamba wameishinda Covid. Na mmojawapo kachomoka majuzi kwa hiyohiyo. Tuchukue tahadhari.
 
Mimi ni moja wapiga vigelegele tuliosema wazungu wanaona wivu kukiri kuwa dawa imepatikana afrika. sasa ninaona aibu mwenyewe..
Chunguza vizuri kinachoendelea huko! Nchi nyingi alikopita mfaransa zina udhaifu mkubwa wa kujilinda na kutetea kile wanachoamini. Mfaransa aliwafanya kitu kibaya sana.
 
Pandemic is still roaming and getting the official tally on the number of deaths is a bit complicated and secretive, I have witnessed some related deaths, it is terrible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…