Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof. Kalamagamba ni wa kupuuzwa, akateme mate mbele na juice zake za MadagascarUsipomuheshimu kwa cheo chake, muheshimu kwa unri wake mate.
No matter how cruel n worse he's to you
Tanzania watu wanazikwa wakiwa hai kwa sababu hakuna vipimo, kabla ya Covid-19.At the time when the COVID 19 news were on its prime even the streets supported the scenario. Ambulance sirens everywhere, videos and pictures of people laying on the streets circulated social media.
My neighbor's Pharmacy had the strict 1 metre rule and a no-mask-no-service rule. Shops had a sanitizer and a bucket of water.
All of those are gone now. Except for a level sit rule, which is only applied during the day. Kisuma bar is on point again just like MK, Peace and other lesser known night clubs.
It's like this disease just knew nobody give a damn no more and it has decided to fvck off. In Tz, why not in other coutries?
kwamba,,,,,,embu dadavua hapa nielewe mkuu[emoji23][emoji23]Kinachoniuma mafuta ya ndogo yetu yalipotea bure
Kwani hatukutuma ndege na jopo la mawaziri kuchukua dawa na zikafikishwa nchini kwa bashasha na vigeregere kibao"Nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania zilienda Madagascar au kuagiza dawa hiyo inayotokana na #Artemisia ambao ni mmea unaoaminika katika kutengeneza dawa za kutibu Malaria"
Hako kaphrase mbona hakapo kwenye hiyo habari ya kiingereza wewe umekatolea wapi?
Ile ni dawa sio kinga, ko usidhani inazuia maambukizi!Mimi ni moja wapiga vigelegele tuliosema wazungu wanaona wivu kukiri kuwa dawa imepatikana afrika. sasa ninaona aibu mwenyewe..
Kama mna dawa lockdown ya nini siunawapa wagonjwa tu wanapona ukiona wanaongezeka ina maana hakuna dawa ndiyo maana wenye ugonjwa hawaponi na wanawaambukiza wengineIle ni dawa sio kinga, ko usidhani inazuia maambukizi!
Last week WHO walionya kuwa tusishangae hali ikageuka tete karibun hapa. Kuna baadhi ya viongozi wanatamba wameishinda Covid. Na mmojawapo kachomoka majuzi kwa hiyohiyo. Tuchukue tahadhari.How the **** do we keep survive this shit? While our neighbours crumble and a country that dared to oppose WHO is now back into quarantine.
How do we do it?
Hata wewe ukifanya jambo la hatari na kipumbavu hakuna mtu atakuheshimu hata uwe kikongweUsipomuheshimu kwa cheo chake, muheshimu kwa unri wake mate. No matter how cruel n worse he's to you
Chunguza vizuri kinachoendelea huko! Nchi nyingi alikopita mfaransa zina udhaifu mkubwa wa kujilinda na kutetea kile wanachoamini. Mfaransa aliwafanya kitu kibaya sana.Mimi ni moja wapiga vigelegele tuliosema wazungu wanaona wivu kukiri kuwa dawa imepatikana afrika. sasa ninaona aibu mwenyewe..
Wao wenyewe ndio wanafanya siasa za chuki na dharau kwa wengine.Usipomuheshimu kwa cheo chake, muheshimu kwa unri wake mate. No matter how cruel n worse he's to you