Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,644
- 3,880
Hahahaha huu ushauri ni mzuri kweli kweliJaribu kukopa mkopo mkubwa ambao hutaweza kuulipa, stress zake ni zaidi ya dawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha huu ushauri ni mzuri kweli kweliJaribu kukopa mkopo mkubwa ambao hutaweza kuulipa, stress zake ni zaidi ya dawa.
nakula jioni tu ila msosi wa hataree.situmii dawa yoyote mkuu.kutembea siwezi jua kali
kama uko serias niinbox...nilikuwa mnene pianimefanya jitihada za kujipunguza uzito ila naona nimeshindwa nazidi tu kuongezeka siku baada ya siku.wenzangu wakiongeza mahela mimi naona naongeza kilo.
mazoezi nafanya kidogo naacha naona uvivu
chakula naacha najikuta nimerudia tena tuseme ukweli jamani hakuna asiependa vitu vitamu .nitakula malimao mpaka lini? ni adhabu kuishi kwa diet acheni tu .
natamani kutumia madawa ya kupunguza uzito ila naogopa yasije yakaniathiri mfumo wangu wa uzazi.
naombeni ushauri haya madawa ya kupunguza mwili yana shida yoyote kwenye uzazi?
asanteni
Naomba uiweke kama unawezaMimi nikupe ushuhuda wangu miezi miwili ilopita nilikuwa Na uzito wa wastani wa 70 - 75 kg lakini leo nimepita 56 kg lakini shughuli Yake si ya kitoto, Na bado napambana haswa ! Yani baada ya muda itabidi nifanye shopping ya Nguo zote ! Nakutia moyo inawezekana kupungua ukiweka nia! Lakini mwenzio shuhuli yangu ni kula Matango tena nikikupa formula utashangaa
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji35]sina wa kunigegeda
DuhhhhReally
Hebu kuja huku chemba tuongee Vizuri
Hebu weka picha yako wakatim ukitembea daktari nikusaidie mgonjwa wangu...nakula jioni tu ila msosi wa hataree.situmii dawa yoyote mkuu.kutembea siwezi jua kali
Swahiba kila la kheri.Hebu weka picha yako wakatim ukitembea daktari nikusaidie mgonjwa wangu...
Hilo usijali swahiba... najua wazi kabisa kizuri mtu hula na nduguyeSwahiba kila la kheri.
Kumbuka sharing is Caring.
Nipo pembeni nakurekodi usifanye kosa. Siunajua miss bantu shekhHilo usijali swahiba... najua wazi kabisa kizuri mtu hula na nduguye
![]()
ahahaaa
Mkuu mbona umeguna tena!!!Duhhhh