Je dawa za kupunguza unene zinaweza kusababisha matatizo ya uzazi?

mimi ni namba mbili sana sana
 
Vitu vingi vinapikwa au kuliwa na chumvi kimakosa! Mathalani Mayai ya kuchemsha yana Radha iliyojitosheleza kuweza kula bila chumvi, nimejifunza kuchemsha mihogo, viazi, magimbi, ndizi bila kuweka chumvi na kulika vizuri na chai etc
 
mcheki bagdad atakusaidia maan jamaa nw kaw model tokea kuwa km komba!,mchek ig!
 
mimi ni namba mbili sana sana
Then jishughulishe siku nzima, kimbia huku na Kule, namaanisha shughuli za nguvu, kama unagari usitumie sana, sometimes uwe unatembea kwa miguu, ili ujitengenezee uncomfortable environments ( but sio stress, just being busy)
 
Je ukikata kata matango na limao ukaweka kwenye maji (jagi) halaf na tangawizi ukata,ukaweka huo mchanganyiko ukauweka 24 ,ukawa ynakunywa inasaidia nini,na unaitwaje huo mchanganyiko
Ni nzuri sana! Inasaidia myeyusho wa chakula!
 
Vitu vya afya hua vina ladha ya ajabu
Kwanini wengine huwa hawanenepi hata wale nini,na wanakula kila kitu,,mim nikisema nile chipsi tu balaa lakin kuna watu nawaona wanakula kila kitu soda,juice,chipsi vyakula vya wanga lakin hawanenepi inakuwaje hapoo
 
Kwanini wengine huwa hawanenepi hata wale nini,na wanakula kila kitu,,mim nikisema nile chipsi tu balaa lakin kuna watu nawaona wanakula kila kitu soda,juice,chipsi vyakula vya wanga lakin hawanenepi inakuwaje hapoo
Wataalamu wanasema kua hilo ni suala ya kibaiolojia... Kuna enzyme ya kuyeyusha chakula, kiwango kikizidi ndo mtu ata ale nini hanenepi... Yaani chakula kinasagwa chote na kutumika, hamna kinachohifadhiwa.
Nimesahau maelezo yenyewe kabisa ila ntajaribu kutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…