Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mtafute yule Gigy Money akupe ile dawa aliyotumia yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni namba mbili sana sanaKwanza jichunguze unene wako unasababishwa na nini 1) chakula 2) wa asili) 3) au wa kuridhika na maisha
Kama ni 2 na 3 chakula hakitakuwa na impact sana hata ukiacha kula ingawa bado utatakiwa usile sana
Kama ni wa no. 3 bas utapungua hasa endapo utaenda kinyume yaani ukiacha kuridhika na maisha.
Kama ni unene wa chakula basi unahitaji kufanya diet kwa sana na mazoezi, Unahitaji afya ya akili ili diet na mazoezi vilete matokeo, namaanisha unatakiwa kuwa relaxed no stress or worries, sahau kama we ni mnene na uweke nguvu kwenye mazoezi na diet, usifanye mazoezi asubuhi jioni unajiangalia kwenye kioo et kama umekonda. Ukiwa relaxed itasaidia mmeng'enyo wa chakula kufanya kazi ipasavyo kuliko ukiwa uko worried au stressed, pia usingizi, kulala kwa wakati na kwa masaa sahihi inasaidia mfumo wa mmengen'yo wa chakula kufanya kazi vizuri, na hasa ukiwa relaxed utalala vizuri na mwili utafanya kazi vizuri, na itakuwa rahisi kupungua, maji mengi yanasaidia pia
[emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu kukopa mkopo mkubwa ambao hutaweza kuulipa, stress zake ni zaidi ya dawa.
mcheki bagdad atakusaidia maan jamaa nw kaw model tokea kuwa km komba!,mchek ig!Nimefanya jitihada za kujipunguza uzito ila naona nimeshindwa nazidi tu kuongezeka siku baada ya siku. Wenzangu wakiongeza mahela mimi naona naongeza kilo.
Mazoezi nafanya kidogo naacha naona uvivu. Chakula naacha najikuta nimerudia tena tuseme ukweli jamani hakuna asiependa vitu vitamu, nitakula malimao mpaka lini? Ni adhabu kuishi kwa diet acheni tu.
Natamani kutumia madawa ya kupunguza uzito ila naogopa yasije yakaniathiri mfumo wangu wa uzazi.
Naombeni ushauri haya madawa ya kupunguza mwili yana shida yoyote kwenye uzazi?
Asanteni
Then jishughulishe siku nzima, kimbia huku na Kule, namaanisha shughuli za nguvu, kama unagari usitumie sana, sometimes uwe unatembea kwa miguu, ili ujitengenezee uncomfortable environments ( but sio stress, just being busy)mimi ni namba mbili sana sana
hapo ndo unamalizasina wa kunigegeda
Ni nzuri sana! Inasaidia myeyusho wa chakula!Je ukikata kata matango na limao ukaweka kwenye maji (jagi) halaf na tangawizi ukata,ukaweka huo mchanganyiko ukauweka 24 ,ukawa ynakunywa inasaidia nini,na unaitwaje huo mchanganyiko
Vitu vya afya hua vina ladha ya ajabuHuwa siweki sukari,,lakin yanakuwa na ladha mbaya[emoji23]
Kwanini wengine huwa hawanenepi hata wale nini,na wanakula kila kitu,,mim nikisema nile chipsi tu balaa lakin kuna watu nawaona wanakula kila kitu soda,juice,chipsi vyakula vya wanga lakin hawanenepi inakuwaje hapooVitu vya afya hua vina ladha ya ajabu
Wataalamu wanasema kua hilo ni suala ya kibaiolojia... Kuna enzyme ya kuyeyusha chakula, kiwango kikizidi ndo mtu ata ale nini hanenepi... Yaani chakula kinasagwa chote na kutumika, hamna kinachohifadhiwa.Kwanini wengine huwa hawanenepi hata wale nini,na wanakula kila kitu,,mim nikisema nile chipsi tu balaa lakin kuna watu nawaona wanakula kila kitu soda,juice,chipsi vyakula vya wanga lakin hawanenepi inakuwaje hapoo