Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

Je, dawa za meno zinazogawiwa mashuleni zinaharibu homoni za watoto wa kiume?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam

Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume.

Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni.

Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu?

Msililize huyu anachoongea
 
CHUKI shabani mzee wa Tabata

huyu jamaa alikuwa anapaishwa sana na Christian Bella na malaika music band
 
Pedi, Uzazi wa mpango, P2, pafyum, dawa n.k husababisha kansa, ugumu wa uzazi, kukosekana kwa ashki za kujamiiana, via vya uzazi wa Ke kulegea (tepe tepe) kuwa baridi, kuwa na maji mengi, homone imbalance kwa Ke na Me.

Kama Watu walidiriki kutengeneza mchele wa plastic na kubaiolojiana na mmbwa, unajishauri nini haswa juu ya hilo nakati Wahenga huwa twasema;

Hakuna cha bure popote duniani "There is no free lunch at everywhere in the world".
 
Vitengo vya usimamizi viwe makini, pia kuwe na sheria kali mashuleni na popote misaada ya vitu vinavyotumiwa visitumike kabla ya kutumiwa
 
Ata chanjo nahisii pia 😭😭
Yaan kama milipigwa Pfizer, moderna , J&J , jiandaeeni kupumuliwa, no matter how!!

Kitakachowatofautisha ni miguno wakat mnapumuliwa...

Wale wa Pfizer miguno yenu ni Ile ashiiiiiiiiiiiiii utaniuaaa wee mbaba..


Wale wa Moderna , miguno ni Hiiiiiii hiiiiiiii hiiiiiii


Wale J&J miguno yenu ni ohooooo hapohapo hapooo pelekaa pelekaaaaa baby



Mtapumuliwa tu 🤣🤣🤣🤣
 
Hata condom unaweza kukuta inapunguza nguvu za kiume..
 
Kwanza ni kwa nini watoto wagawiwe au kupewa dawa tena kwa lazima na bila kuwahusisha wazazi wao? Mara sijui vidonge vya minyoo, mara sijui vitamini gani, mara meno..... kuna mtu anaanza kuwapima na kuona kama wana matatizo husika ndio wapewe hizo dawa? Na je shuleni ni hospital? Na je, Ulaya na Marekani mtoto anapewa chanjo ma dawa bila mzazi kukubali na kusaini nyaraka husika? Ikumbukwe hawa ni under 18 na wazazi ndio wako responsble nao kisheria.
 
Nasikitika kuona watu wazima hovyo wakikaa kujadili myths ambazo kiuhalisia hata kindergarten wa mtaala wa cambridge hawezi kuziamini.
 
Mu7 naye kawatelekeza
Miaka Fulani ,alikuwepo Mfanyabiashara anaingiza maziwa ya watoto hapa Nchini

Mkuu yule wa wakati ule, akasema hayana shida.

Watoto wakazidi kupewa maziwa Yale , kumbe Yale maziwa yakawa yanasababisha uzezeta Kwa watoto .

Yule Mkuu mpaka Leo Hakujulikana ni wapi ameenda..... Wakati ule Usalama walifanya kazi kwelikweli .
 
Yaan kama milipigwa Pfizer, moderna , J&J , jiandaeeni kupumuliwa, no matter how!!

Kitakachowatofautisha ni miguno wakat mnapumuliwa...

Wale wa Pfizer miguno yenu ni Ile ashiiiiiiiiiiiiii utaniuaaa wee mbaba..


Wale wa Moderna , miguno ni Hiiiiiii hiiiiiiii hiiiiiii


Wale J&J miguno yenu ni ohooooo hapohapo hapooo pelekaa pelekaaaaa baby



Mtapumuliwa tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mama umecheka na kuongezea siku !!.


Kweli ,utakuja kuyasikia hayo siku zinavyosogea ,wee hujiulizi kwann baada ya zoezi ndio Ushoga umezidi🤣
 
Back
Top Bottom