Je, Dayosisi ya Central Tanganyika (D.C.T) inaendeshwa kihuni?

Je, Dayosisi ya Central Tanganyika (D.C.T) inaendeshwa kihuni?

D.C.T iliondoka na Marehemu Dkt. Mdimi Mhogolo G.
Huyo Chilongani ni "pure " gogo. Hana uwezo,hana wito.
Ukijumlisha na Ndugai + Kabudi,hiyo DCT lazima iwe hivyo.
Nakumbuka mgogoro uliozaa Evangelical Anglican Church of Tanzania miaka ile mpaka wakina Kuwayawaya wakawemo ndani.
 
Nimesoma DCT jubelee hapo Dodoma....
kiufupi DCT now hakuna kitu siyo kama ya zamani iliyokuwa inaheshimika...
kwanza waalimu wazuri wote wameeondoka... shule adi imekosa jina Dodoma mjini
matokeo yao ni ya kushuka kila siku...
Atleast ya madogo DCT hollytrinity na DCT mvumi kidogo wanajitaidi...
Usimamizi mbovu ni chanzo cha haya yote alafu kujuana kwingi pale
Hapo pia nilifika na niliweza kupata fursa ya kuonana na Kijana Mmoja aliyemaliza hapo.

Nilichoambiwa kuhusu Shule hiyo ilivyo sasa ni Aibu kubwa.
 
Ngoja tumuombe Ndugai awaswauli,maana na yeye nakutana bar sana pale kwenye ofisi ya kanisa.Pia ni muumini wa kabisa hilo.
Asante Mkuu,

Utakuwa umefanya Jambo la Maana Sana.

Hii DAYOSISI ikiendeshwa hivi ndani ya Miaka Mitano itauza Rasilimali zake.
 
Kanisa la Anglikana linaendeshwa Kihuni ndio maana Migogoro haziishi katika Makanisa yao, hakuna Maendeleo na wala halipanuki na kuenea mengi hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom