Je, Dayosisi ya Central Tanganyika (D.C.T) inaendeshwa kihuni?

D.C.T iliondoka na Marehemu Dkt. Mdimi Mhogolo G.
Huyo Chilongani ni "pure " gogo. Hana uwezo,hana wito.
Ukijumlisha na Ndugai + Kabudi,hiyo DCT lazima iwe hivyo.
Nakumbuka mgogoro uliozaa Evangelical Anglican Church of Tanzania miaka ile mpaka wakina Kuwayawaya wakawemo ndani.
 
Hapo pia nilifika na niliweza kupata fursa ya kuonana na Kijana Mmoja aliyemaliza hapo.

Nilichoambiwa kuhusu Shule hiyo ilivyo sasa ni Aibu kubwa.
 
Ngoja tumuombe Ndugai awaswauli,maana na yeye nakutana bar sana pale kwenye ofisi ya kanisa.Pia ni muumini wa kabisa hilo.
Asante Mkuu,

Utakuwa umefanya Jambo la Maana Sana.

Hii DAYOSISI ikiendeshwa hivi ndani ya Miaka Mitano itauza Rasilimali zake.
 
Hapo pia nilifika na niliweza kupata fursa ya kuonana na Kijana Mmoja aliyemaliza hapo.

Nilichoambiwa kuhusu Shule hiyo ilivyo sasa ni Aibu kubwa.
Amna shule hapo
 
Kanisa la Anglikana linaendeshwa Kihuni ndio maana Migogoro haziishi katika Makanisa yao, hakuna Maendeleo na wala halipanuki na kuenea mengi hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…