mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Untill registered it has no legal effectNasubiri jibu tafadhali kwa wanasheria
Wandugu nasubiri!Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita. Nasubiri jibu toka kwa wanasheria.
Hakuna kitu kama hicho kuna deed poll
Kwa gia hiyo itabidi pesa ya ziada ikutoke!Hiyo kitu inachukua siku Moja, tena masaa. Kama sio mzoefu tafuta mtu akupeleke, utaondoka nayo siku hiyo hiyo!
Nashukuru. Hiyo process Fulani ni IPI?Ina process fulani lakini inakubalika kisheri
Inategemeana!Kwa gia hiyo itabidi pesa ya ziada ikutoke!
Ni online application? wewe itumie tu maana hata ile mihuri ya registrer inagongwa nyuma. Hata kama unatuma hardcopies, toa copy hapo mbele. In case utatoboa kwenda stage ya pili na wanataka waone kama ikuwa registered utakuwa ulishapata copy yako zamaniNasubiri jibu tafadhali kwa wanasheria
Kama haijasajiriwa tafsiri yake Bado Haina nguvu kisheriaNaomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita. Nasubiri jibu toka kwa wanasheria.