Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Je, Diamond kathibitisha Ommy ni bwabwa?

Status
Not open for further replies.
Mbona kijana anaonekana kaanza kuimbisha kitambo huenda wanamchafua tu[emoji116]
916c003e5e6f9440539e25b78a592ec5.jpg
Hii ndio kuimbisha au kuwa karibu na madada
 
Mbona michezo ya kufirana imeanzia kwa waislamu mkuu! hasa wa arabuni pale middle east na zanzibar hapa. Pia marekani na ulaya wanafanya sana,
Wewe pakitajwa kufirana unataja zanzibar, wameshakufira?
 
Interview ya leo kwenye kipindi cha XXL na saga inayoendelea kwenye social networks inaonyesha jinsi wasanii wetu ni wapuùzi na hawana shule kabisa bado wana maisha ya kuigiza hapo ndipo ninapokubali hawa watoto wote wana tabia za dada zao sijaona tofauti ya ambae kavuka mipaka na mwanangu ManFongo wote hawana management zenye kuwaongoza hasa wanapoojiwa wanashindwa kuweka hisia zao hasi kando.
Nawakumbusha tu kua music industry iko duara ipo siku mtakuja kua raia wa kawaida ambao mliwahi kua maarufu naona wanadhani wanaamini mpaka mwisho watabaki pale,shule hata kama haitokupa hela na fame ila itakuongoza kua na busara na uchaguzi wa maneno.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom