Je, Diamond kuna kipi unakikumbuka kwa Wema ambacho huwezi kukisahau??

kababae

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
280
Reaction score
246
Habari zenu wa Jf

Jana usiku mwanamuziki wa kizazi kipya bwana Nasib bin Abdul Juma ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la Sikomi huko kwenye mtandao wa youtube.

Lakini cha kustaajabisha zaidi wimbo mzima kamuimba wema sasa sijui Jamaa baada ya kuachana na wema bado anampenda? Na kama bado je wema anatumu wa kaisi gani mpaka mtu unashindwa ku move on..

Kama anajtamu huo mpaka msanii mkubwa kama diamond anashindwa kuusadau nami niwekeza taratibu hili ongezeko la mshahara kwa muda wa mwaka mmoja ili nipate kufaidi tunda hili adhimu.
 
  • Thanks
Reactions: THT
Kwa hiyo Wema ukipanda dau tu unambeba.... lol ngoja team yake ije.
 
Habari zenu wa Jf

Kama anajtamu huo mpaka msanii mkubwa kama diamond anashindwa kuusadau nami niwekeza taratibu hili ongezeko la mshahara kwa muda wa mwaka mmoja ili nipate kufaidi tunda hili adhimu.
Si ungeenda kumuuliza huko huko youtube au instagram? we unadhan hapa utapata jibu?

Alafu mwanaume unawezaje kuwaza mambo ya kijinga hivi asubuhi yote hii? ndio maana hata magu kawapa nyongeza ya 5000 baada ya kuwabania nyongeza ya mshahara kwa miaka miwili...
 
We mwanaume gani unakuja kucomment ujinga si ungefanya mambo ya msingi?? Papa la gigi money we!
 
tIGo Tigo jamani. Ndiye wa kwanza kumwojesha....... Mapenzi ya kistar. Tigo ya kistar.
 
Sijui Zari anajisikiaje kuona Diamond kila siku anamtaja Wema..Na po siku watarudiana,imagine Diamond alifanyiwa interview na Sky akakiri kumsahau Wema unatakiwa uwe mwanaume kweli,anasema yeye aliuwa anamchukia mpaka Idris(Mind you wakati huo tayari alikuwa na Zari na Zari alikuwa na Mimba ya Tiffa tayari)Hii inathibitisha ukweli kwamba,we only love once in lifetime
 
Wao ndyo wanajua wlikuwa wnapeana nn ww hyakuhusuu unatuuliza sisi kwan sisi ndyo tlikuwa tnamshika wema miguuu???
 
Habari zenu wa Jf

Jana usiku mwanamuziki wa kizazi kipya bwana Nasib bin Abdul Juma ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la Sikomi huko kwenye mtandao wa youtube.

Lakini cha kustaajabisha zaidi wimbo mzima kamuimba wema sasa sijui Jamaa baada ya kuachana na wema bado anampenda? Na kama bado je wema anatumu wa kaisi gani mpaka mtu unashindwa ku move on..

Kama anajtamu huo mpaka msanii mkubwa kama diamond anashindwa kuusadau nami niwekeza taratibu hili ongezeko la mshahara kwa muda wa mwaka mmoja ili nipate kufaidi tunda hili adhimu.
Vyuma vimekaza hilo ongezeko fanyia kitu kingine cha maendeleo
 
anampenda sana hyo manzi si alimvalishaga na pete kabisa mambo yakaingilia kati.. ila hyu wa sasa kamalisha watoto 2, ht pete kamvisha kweli?
 
Sijui Zari anajisikiaje kuona Diamond kila siku anamtaja Wema..Na po siku watarudiana,imagine Diamond alifanyiwa interview na Sky akakiri kumsahau Wema unatakiwa uwe mwanaume kweli,anasema yeye aliuwa anamchukia mpaka Idris(Mind you wakati huo tayari alikuwa na Zari na Zari alikuwa na Mimba ya Tiffa tayari)Hii inathibitisha ukweli kwamba,we only love once in lifetime
True

Ila dah inauma asikuambie mtu
 
Back
Top Bottom