Si ungeenda kumuuliza huko huko youtube au instagram? we unadhan hapa utapata jibu?Habari zenu wa Jf
Kama anajtamu huo mpaka msanii mkubwa kama diamond anashindwa kuusadau nami niwekeza taratibu hili ongezeko la mshahara kwa muda wa mwaka mmoja ili nipate kufaidi tunda hili adhimu.
We mwanaume gani unakuja kucomment ujinga si ungefanya mambo ya msingi?? Papa la gigi money we!Si ungeenda kumuuliza huko huko youtube au instagram? we unadhan hapa utapata jibu?
Alafu mwanaume unawezaje kuwaza mambo ya kijinga hivi asubuhi yote hii? ndio maana hata magu kawapa nyongeza ya 5000 baada ya kuwabania nyongeza ya mshahara kwa miaka miwili...
Na hamu nayo sana hiyo ngoja nijichanga change ariftIGo Tigo jamani. Ndiye wa kwanza kumwojesha....... Mapenzi ya kistar. Tigo ya kistar.
Vyuma vimekaza hilo ongezeko fanyia kitu kingine cha maendeleoHabari zenu wa Jf
Jana usiku mwanamuziki wa kizazi kipya bwana Nasib bin Abdul Juma ameachia wimbo wake unakwenda kwa jina la Sikomi huko kwenye mtandao wa youtube.
Lakini cha kustaajabisha zaidi wimbo mzima kamuimba wema sasa sijui Jamaa baada ya kuachana na wema bado anampenda? Na kama bado je wema anatumu wa kaisi gani mpaka mtu unashindwa ku move on..
Kama anajtamu huo mpaka msanii mkubwa kama diamond anashindwa kuusadau nami niwekeza taratibu hili ongezeko la mshahara kwa muda wa mwaka mmoja ili nipate kufaidi tunda hili adhimu.
TrueSijui Zari anajisikiaje kuona Diamond kila siku anamtaja Wema..Na po siku watarudiana,imagine Diamond alifanyiwa interview na Sky akakiri kumsahau Wema unatakiwa uwe mwanaume kweli,anasema yeye aliuwa anamchukia mpaka Idris(Mind you wakati huo tayari alikuwa na Zari na Zari alikuwa na Mimba ya Tiffa tayari)Hii inathibitisha ukweli kwamba,we only love once in lifetime