Du yaelekea Lemutuz ni anajua kula bata tu ila kwa budget ya nguo mmmh very disorganized make sio kwa matambala yale!!!
Huu mwendokasi wa kuzuia mitumba utamuathiri sana le gaddem akili kubwaz!
- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!
le Mutuz
Eti nasikia huyo ni kati ya wale wanaume wa mikoanimkuu hzo ni swaga tu za vjanA wala usshangae
Hongera brother...- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!
le Mutuz
Huyo ni william malecelaHuyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa akionekana. Ni nani yake?
View attachment 364923
Pole sana kwa zile mbio za kukimbuzina na Diamond baada ya show eeh le kupashaz uliemaje- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!
le Mutuz
Hivi ndo alitaka kumuoa sintah?angeoa mwaka juzi ila aliahirisha dakika ya 88, hii ilikuwa baada ya michango kukamilika na ndio maana kuna mabilionea wanzake wanamdai michango hadi leo
Hahahahahaha na kubeba via2 vya Daimondni sehemu yakazi zako za social media? Ngachoka mie- Ukweli ni kwamba mimi na yeye yaani Diamond tupo pamoja under VodacomTanzania, ndio maana nilienda naye UDOM, Mwanza na Neyo na this trip, mimi sio Meneja wake na wala sifanyi kazi kama hizo nina kazi zangu za Social Media ambazo zinanilipa na nazipenda sana!!
le Mutuz
Hahahahahaha na kubeba via2 vya Daimondni sehemu yakazi zako za social media? Ngachoka mie
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!
le Mutuz
Mlinzi Ktambi..Ni mlinzi mpya huyo, anasaidiana na huyo jamaa mwenye miwani
bro nimeona huko instagram mke wa mzungu anakukimbiza vp umemkera nn?- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!
le Mutuz
Massive respect to you ma nigga.
Kweli mwanaume hachagui kazi bana.
bro nimeona huko instagram mke wa mzungu anakukimbiza vp umemkera nn?
- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!
le Mutuz