Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Le Mutuz,

Wafundishe vijana wa nyumbani waache mambo ya kuishi vile jamii inavyotaka. Kubeba viatu hakukufanyi wewe uwe less of a human! Much respect my brother...

Cosigned!
 
Kumbe ndio maana mpare anakuvua nguo instagram mchana kweupe, me nimekuuliza kibusara........ni ww uliyechelewa maisha una kazi ya kurudisha nyuma maisha uonekane kijana. Na mpensi wako kama fuko la kubebea viroba. Tatizo unajiona mjanja wakati ushachelewa na umri ushakutupa mkono, yaani ww ni wale kina niagieni, kwishney kila upande.....mizee mingine bwana inazeeka vibaya kama nini.
 
Reactions: PNC

- hahahahahaha nina maisha wewe huna ndio maana unahangaika huku kushambulia watu usiowajua na majina bandia huna maisha kama unataka kazi nipigie nikupe ajira namba yangu hii hapa nahitaji mtu wa kusafisha ofisi yangu +255 717 618 997 wacha I make big money at Instagram it is my territory pole sana

- Halafu niambie between wewe na baba yako nani ana ofisi kama hii hapa Posta Mpya, sawa boss

le Mutuz
 
Diamond ameanza kuboa, masuala yake ya mademu yatamyeyusha.
 
Hata kama sina maisha siwezi kuomba kazi kwako kwani kwa majibu yako tu unaonyesha kuwa na gubu la wanaume wote duniani! Toka lini mwanaume anayejitambua na mwenye maisha na hela kama unavyojinadi ana muda wa kujibishana na watu wenye majina bandia kama mimi? Unaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo wakati limwili kubwaaa kama dunia.. Na kama ajira unazo za usafi wa ofisi tumia fursa hiyo kuwaajiri wale vijana waliochimba kaburi kumsitiri mamako manake wengi wao hawana kitu.... kwa ufupi umri wako tu hupishani yaani ww ni babu wa mababu kwanza ulipaswa kuishi enzi za zamadamu. usinitie mikosi kujibizana na zee la karne lukuki
 

- hahahahahaha ni majibu ya waiokuwa na maisha pole sana sisi tupo mjini tunapiga maisha tunakula batazzz wewe endelea kufuatilia maisha ya wanaume na kuyalalamikia kwenye mitandao na majina ya bandia sisi maisha yanasonga mbele si unajua ninarudi tena Kyela na Chameleone hahahahahahaha utaisoma mpaka ufwe hapa kama unataka kazi nipigie nikuajiri hahahahahaha

le Mutuz
 
Nimeyapenda tu hayo mavazi

Vazi la Diamond unatakiwa ujitoe Akili ili uvae maana kama ni Ustaa sijawahi kuona wakina Jay Z, 50 cent wamevaa hayo matambala.

Shati la Lemutuz lina uwezo wa kufunika Vitz mbili.

BABU NA MJUKUU...
shati la mwendokasi
 
hukula maisha January, utayaweza ya December? Pole sana, wanaume wenzio wa umri wako wanaokula maisha sasa ni wanamalizia tu wakati wewe ndio kwanza unaanza, Hahahahahaha nicheke kwa dharau miye wa kula maisha utakuwa wewe? ungekuwa na maisha ungeyaonyesha tunduma mbeya sio kwenye mitandao. Ukimaliza kula maisha mtandaoni nenda kakarabati kibanda cha urithi tunduma ili hadhi yako ipande
 

- Nimekula maisha toka nazaliwa mpaka leo hakijabadilika anything in my life hahahahaha naona kama unajiongelea maana kutangulia mbele ya haki ni pamoja na kutotumia ID yako kamili unaanza kujiita majina ya ulaya kama wewe hahahahaha pole sana weka nyumba uliyomjengea mama yako kwanza then uliza za wengine au nyamaza hahahahahahahahah by the way najua wewe ni nani ndio maana vipi

le Mutuz
 

Miaka 56 ni mingi sana mkuu..ukibishana na watoto wako humu unajishushia heshima..ila mkuu kwa misifa yako ww si kubebeshwa vuatu..huko marekani ulikua unafanya nn sasa mpaka unabeba viatu na umri huo,kama bongo unabeba viatu huko marekani ulikua unafanya kazi gani?monchwari au?au kusafisha maiti?
 

- hahahahahahha hapana nina miaka 61 si unajua June 25 ilikuwa my Birthday hahahahahah so rekebisha hilo kwanza hahahahahah

le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…