Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Le Mutuz,
Wafundishe vijana wa nyumbani waache mambo ya kuishi vile jamii inavyotaka. Kubeba viatu hakukufanyi wewe uwe less of a human! Much respect my brother...
Cosigned!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le Mutuz,
Wafundishe vijana wa nyumbani waache mambo ya kuishi vile jamii inavyotaka. Kubeba viatu hakukufanyi wewe uwe less of a human! Much respect my brother...
Kumbe ndio maana mpare anakuvua nguo instagram mchana kweupe, me nimekuuliza kibusara........ni ww uliyechelewa maisha una kazi ya kurudisha nyuma maisha uonekane kijana. Na mpensi wako kama fuko la kubebea viroba. Tatizo unajiona mjanja wakati ushachelewa na umri ushakutupa mkono, yaani ww ni wale kina niagieni, kwishney kila upande.....mizee mingine bwana inazeeka vibaya kama nini.- Well, nilikuwa nimelipwa kwenda na Diamond meaning bila Diamond nisingelipwa kwenda kupiga kazi Kyela, ingebidi hata kumbeba mabegani ningembeba ndivyo nilivyofundishwa na the Americans kwamba Mwanaume huchagui kazi na besides ingekuwa viatu vyako wewe mburulazzzz hapo sawa lakini Diamond please hahahahahahahahah by the way narudi tena Kyela na Chameleone so relax utaisoma tu hapa!!
le Mutuz
Le Mutuz,
Wafundishe vijana wa nyumbani waache mambo ya kuishi vile jamii inavyotaka. Kubeba viatu hakukufanyi wewe uwe less of a human! Much respect my brother...
Kumbe ndio maana mpare anakuvua nguo instagram mchana kweupe, me nimekuuliza kibusara... mburulazzzz ni ww uliyechelewa maisha una kazi ya kurudisha nyuma maisha uonekane kijana. Na mpensi wako kama fuko la kubebea viroba. Tatizo unajiona mjanja wakati ushachelewa na umri ushakutupa mkono, yaani ww ni wale kina niagieni, kwishney kila upande.....mizee mingine bwana inazeeka vibaya kama nini.

Naomba kazi mkuu.- hahahahahaha hawa mburulazzzz huku bongo ni taabu sana U know
le Mutuz
Diamond ameanza kuboa, masuala yake ya mademu yatamyeyusha.
Naomba kazi mkuu.
Huyu ni mbeba viatu wa diamond anaitwa lemutuzHuyu mzee pembeni ya Diamond ni nani? Ndo manager wa Diamond? Hivi karibuni nimekuwa nikimuonaona akiwa karibu na Diamond, hata kwenye picha za nyumbani kwa Diamond Madale huyu mzee amekuwa akionekana. Ni nani yake?
View attachment 364923
Hata kama sina maisha siwezi kuomba kazi kwako kwani kwa majibu yako tu unaonyesha kuwa na gubu la wanaume wote duniani! Toka lini mwanaume anayejitambua na mwenye maisha na hela kama unavyojinadi ana muda wa kujibishana na watu wenye majina bandia kama mimi? Unaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo wakati limwili kubwaaa kama dunia.. Na kama ajira unazo za usafi wa ofisi tumia fursa hiyo kuwaajiri wale vijana waliochimba kaburi kumsitiri mamako manake wengi wao hawana kitu.... kwa ufupi umri wako tu hupishani yaani ww ni babu wa mababu kwanza ulipaswa kuishi enzi za zamadamu. usinitie mikosi kujibizana na zee la karne lukuki- hahahahahaha nina maisha wewe huna ndio maana unahangaika huku kushambulia watu usiowajua na majina bandia huna maisha kama unataka kazi nipigie nikupe ajira le mburulazzz namba yangu hii hapa nahitaji mtu wa kusafisha ofisi yangu +255 717 618 997 wacha kuwa mjinga I make big money at Instagram it is my territory pole sana
- Halafu niambie between wewe na baba yako nani ana ofisi kama hii hapa Posta Mpya, sawa boss
le Mutuz
Hata kama sina maisha siwezi kuomba kazi kwako kwani kwa majibu yako tu unaonyesha kuwa na gubu la wanaume wote duniani! Toka lini mwanaume anayejitambua na mwenye maisha na hela kama unavyojinadi ana muda wa kujibishana na watu wenye majina bandia kama mimi? Unaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo kama nukta wakati limwili kubwaaa kama dunia. Si ungemuajiri mamako kuliko ulivyojifedhehesha na msiba wa kimaskini. Na kama ajira unazo za usafi wa ofisi tumia fursa hiyo kuwaajiri wale vijana waliochimba kaburi kumsitiri mamako manake wengi wao hawana kitu.... kwa ufupi umri wako tu hupishani na zinjathropus yaani ww ni babu wa mababu kwanza ulipaswa kuishi enzi za zamadamu. usinitie mikosi kujibizana na zee la karne lukuki
shati la mwendokasiNimeyapenda tu hayo mavazi
Vazi la Diamond unatakiwa ujitoe Akili ili uvae maana kama ni Ustaa sijawahi kuona wakina Jay Z, 50 cent wamevaa hayo matambala.
Shati la Lemutuz lina uwezo wa kufunika Vitz mbili.
BABU NA MJUKUU...
shati la mwendokasi
hukula maisha January, utayaweza ya December? Pole sana, wanaume wenzio wa umri wako wanaokula maisha sasa ni wanamalizia tu wakati wewe ndio kwanza unaanza, Hahahahahaha nicheke kwa dharau miye wa kula maisha utakuwa wewe? ungekuwa na maisha ungeyaonyesha tunduma mbeya sio kwenye mitandao. Ukimaliza kula maisha mtandaoni nenda kakarabati kibanda cha urithi tunduma ili hadhi yako ipande- hahahahahaha ni majibu ya waiokuwa na maisha pole sana sisi tupo mjini tunapiga maisha tunakula batazzz wewe endelea kufuatilia maisha ya wanaume na kuyalalamikia kwenye mitandao na majina ya bandia sisi maisha yanasonga mbele si unajua ninarudi tena Kyela na Chameleone hahahahahahaha utaisoma mpaka ufwe hapa le mburulazzz kama unataka kazi nipigie nikuajiri hahahahahaha
le Mutuz
mie nimevutiwa na shati la mwendokasi tu. lol! au unataka nikusaidie matumizi ya hayo malipo?- Ukimaliza huu ujinga niulize nimelipwa ngapi kwenda Kyela na Diamond pole sana hahahahahahahahaha
le Mutuz
hukula maisha January, utayaweza ya December? Pole sana, wanaume wenzio wa umri wako wanaokula maisha sasa ni wanamalizia tu wakati wewe ndio kwanza unaanza, Hahahahahaha nicheke kwa dharau miye wa kula maisha utakuwa wewe? ungekuwa na maisha ungeyaonyesha tunduma mbeya sio kwenye mitandao. Yaani wewe kimwili uko nasi lakini kiroho ulishatangulia mbele za haki. Ukimaliza kula maisha mtandaoni nenda kakarabati kibanda cha urithi tunduma ili hadhi yako ipande vinginevyo unaendelea kuwa lofa tu kama malofa wengine na wakiitwa wanaume mafala wewe walahi unabeba bango mbele!
- hahahahahaha ni majibu ya waiokuwa na maisha pole sana sisi tupo mjini tunapiga maisha tunakula batazzz wewe endelea kufuatilia maisha ya wanaume na kuyalalamikia kwenye mitandao na majina ya bandia sisi maisha yanasonga mbele si unajua ninarudi tena Kyela na Chameleone hahahahahahaha utaisoma mpaka ufwe hapa le mburulazzz kama unataka kazi nipigie nikuajiri hahahahahaha
le Mutuz
Miaka 56 ni mingi sana mkuu..ukibishana na watoto wako humu unajishushia heshima..ila mkuu kwa misifa yako ww si kubebeshwa vuatu..huko marekani ulikua unafanya nn sasa mpaka unabeba viatu na umri huo,kama bongo unabeba viatu huko marekani ulikua unafanya kazi gani?monchwari au?au kusafisha maiti?