Je Diamond Platnumz ana management mpya?

Je Diamond Platnumz ana management mpya?

- Nimekula maisha toka nazaliwa mpaka leo hakijabadilika anything in my life hahahahaha naona kama unajiongelea maana kutangulia mbele ya haki ni pamoja na kutotumia ID yako kamili unaanza kujiita majina ya mbwa wa ulaya kama wewe hahahahaha pole sana weka nyumba uliyomjengea mama yako kwanza then uliza za wengine au nyamaza hahahahahahahahah by the way najua wewe ni nani ndio maana vipi kaburi la mama yako lipo sawa?

le Mutuz
Hasira za uzee zinakusumbua, nimekubali kuwa mimi sina maisha.... wewe endelea na maisha... nikishindwa kabisa nitaomba kazi ya usafi kwenye mjengoz wa tunduma manake mjini sijawahi fika nipo huku majengo tunduma nauza vibama.
 
Miaka 56 ni mingi sana mkuu..ukibishana na watoto wako humu unajishushia heshima..ila mkuu kwa misifa yako ww si kubebeshwa vuatu..huko marekani ulikua unafanya nn sasa mpaka unabeba viatu na umri huo,kama bongo unabeba viatu huko marekani ulikua unafanya kazi gani?monchwari au?au kusafisha maiti?
Uwiiiiiiiiiiiiiiii marekani alikuwa anakula maisha vilevile... tumstiri tu huyu jamani
 
- hahahahahahha hapana nina miaka 61 si unajua June 25 ilikuwa my Birthday hahahahahah so rekebisha hilo kwanza hahahahahah

le Mutuz
Kama una61 natakiwa nikupe heshima yako,Na kwanini uliniblock instagram hahaha,kwanini hupendi challenge mzee
 
Hasira za uzee zinakusumbua, nimekubali kuwa mimi sina maisha.... wewe endelea na maisha... nikishindwa kabisa nitaomba kazi ya usafi kwenye mjengoz wa tunduma manake mjini sijawahi fika nipo huku majengo tunduma nauza vibama.

- hahahahaha seriously hakuna mtu mwenye maisha anayehangaika kutukana watu asiowajaua na asiowalipia maisha kwenye mitandao ni lazima uwe loser huna life ndio utakuwa interested na maisha ya wanaume wengine mpaka kuyafuatilia na kuanza kulalamika hahahahahaha pole sana huna maisha mimi sina muda wa kujua maisha yako cause nipo busy na yangu, naona ulianza kwa nguvu sana mbona unaaanza kurudi nyuma hahahahahahahahahaha

Nirudi nyuma kwa kukuogopa au kukuheshimu? Mbwembwe zimekuzidi wewe kujitia umaarufu usiokuwa nao, ungekuwa na walau uwezo wa R. Mengi mbona tungekukoma? tatizo unajitia ufahari wakati ni mufilisi tu huna lolote. Mzee wa drama na kujinadi kwenye mitandao... ushuzi wako jambia kwingine... kama wewe matawi nimekwambia niajiri mjengo wa tunduma sio hiyo mipicha ya mitandaoni!
 
- kumbe unanifuatilia kila mahali thanks for that maana ndio maana hasa ya BIG CELEBRITY kama nilivyo hahahahaha

le Mutuz
Nakufatilia ndio maana bila pumba zako nakua cpati la kucheka, BIG CELEBRITY anabebeshwa viatu na kutolewa mbio vile,na yule mke wa mzungu kakuumbua kweli maana lile kaburi ulilolicrop amejua umelipata wapi..then kuzaliwa nje ya ndoa sometimez watoto wanakua kama wewe miaka 56 bado hujajitambua
 
- kumbe unanifuatilia kila mahali thanks for that maana ndio maana hasa ya BIG CELEBRITY kama nilivyo hahahahaha

le Mutuz
nimeona Instargram wanasema michango ya harusi ndio ulinunulia gari, unakulaga chakula bure Double Tree hotel na unaishi kwenye apartment ya mtu, je yana ukweli haya?
 
Nirudi nyuma kwa kukuogopa au kukuheshimu? Mbwembwe zimekuzidi wewe kujitia umaarufu usiokuwa nao, ungekuwa na walau uwezo wa R. Mengi mbona tungekukoma? tatizo unajitia ufahari wakati ni mufilisi tu huna lolote. Mzee wa drama na kujinadi kwenye mitandao... ushuzi wako jambia kwingine... kama wewe matawi nimekwambia niajiri mjengo wa tunduma sio hiyo mipicha ya mitandaoni!

- hahahahahahaha umekubali maana hakuna Mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kufuatilia maisha ya wanaume wengine tena kwa majina ya bandia kwenye mitandao lazima kuna something wrong hahahahahahahahahaha

le Mutuz
 
Hata kama sina maisha siwezi kuomba kazi kwako kwani kwa majibu yako tu unaonyesha kuwa na gubu la wanaume wote duniani! Toka lini mwanaume anayejitambua na mwenye maisha na hela kama unavyojinadi ana muda wa kujibishana na watu wenye majina bandia kama mimi? Unaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo kama nukta wakati limwili kubwaaa kama dunia. Si ungemuajiri mamako kuliko ulivyojifedhehesha na msiba wa kimaskini. Na kama ajira unazo za usafi wa ofisi tumia fursa hiyo kuwaajiri wale vijana waliochimba kaburi kumsitiri mamako manake wengi wao hawana kitu.... kwa ufupi umri wako tu hupishani na zinjathropus yaani ww ni babu wa mababu kwanza ulipaswa kuishi enzi za zamadamu. usinitie mikosi kujibizana na zee la karne lukuki
Bro mbona umepanic sana povu la nn matus yote haya kwa kosa gan alilofanya anyway watu Kane wote ila sio marehem after all mwanaume kamili hatukan mitandaon unless unihakikishie kuwa ww ni mwanamke na una wivu wa kimapenz na le mutuz
 
Uwiiiiiiiiiiiiiiii marekani alikuwa anakula maisha vilevile... tumstiri tu huyu mbabuz jamani
Yaan mimi kama angekua baba yangu huyu ningemkana,yaani wazee wa umri wake wanastaafu kulea wajukuu eti yeye anajitia king of social media..anajibaraguza ila maneno yanamuingia..
 
Nakufatilia ndio maana bila pumba zako nakua cpati la kucheka, BIG CELEBRITY anabebeshwa viatu na kutolewa mbio vile,na yule mke wa mzungu kakuumbua kweli maana lile kaburi ulilolicrop amejua umelipata wapi..then kuzaliwa nje ya ndoa sometimez watoto wanakua kama wewe miaka 56 bado hujajitambua

- hahahahahahah yule ni bingwa wa shombo lakini kashindwa kujibu kuhusu kazi na anapoishi, najua umepaona ninapoishi na ninapofanya kazi vipi umemuuliza kama anapo hahahahaha kimefukuzwa na mzungu kinatia huruma sana kwa tunaojua hahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahaha ni majibu ya waiokuwa na maisha pole sana sisi tupo mjini tunapiga maisha tunakula batazzz wewe endelea kufuatilia maisha ya wanaume na kuyalalamikia kwenye mitandao na majina ya bandia sisi maisha yanasonga mbele si unajua ninarudi tena Kyela na Chameleone hahahahahahaha utaisoma mpaka ufwe hapa le mburulazzz kama unataka kazi nipigie nikuajiri hahahahahaha

le Mutuz
Ningeua mtu hapo nimeona bussara zako
 
nimeona Instargram wanasema michango ya harusi ndio ulinunulia gari, unakulaga chakula bure Double Tree hotel na unaishi kwenye apartment ya mtu, je yana ukweli haya?

- hahahahaha sasa kama ni kweli anaishndwa nini kurudi bongo na yeye aje aishi bure kama mimi hahahahahahahahah

le Mutuz
 
- hahahahahahah yule ni bingwa wa shombo lakini kashindwa kujibu kuhusu kazi na anapoishi, najua umepaona ninapoishi na ninapofanya kazi vipi umemuuliza kama anapo hahahahaha kimefukuzwa na mzungu kinatia huruma sana kwa tunaojua hahahahahaha

le Mutuz
Haya mkuu basi ni unblock ili nikuongezee likes maana umenifanya naumwa kutoona live talk show..yule kimambi mnajuana anasema wewe ni ndugu yake so nawaachia wenyewe..
 
Yaan mimi kama angekua baba yangu huyu ningemkana,yaani wazee wa umri wake wanastaafu kulea wajukuu eti yeye anajitia king of social media..anajibaraguza ila maneno yanamuingia..

- hahahahahaha ningekuwa na mtoto kama wewe ningejiua maana mtoto anayefuatilia maisha ya wanaume asiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia ni hasara U know hahahahahahaha

le Mutuz
 
Haya mkuu basi ni unblock ili nikuongezee likes maana umenifanya naumwa kutoona live talk show..yule kimambi mnajuana anasema wewe ni ndugu yake so nawaachia wenyewe..

- Kwenye Social Media nipo kibiashara zaidi sina ndugu hahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahahha hapana nina miaka 61 si unajua June 25 ilikuwa my Birthday hahahahahah so rekebisha hilo kwanza hahahahahah

le Mutuz
Mkuu with all due respect naomba kukuuliza tu kwa nia njema, viatu ulivyovishika kwenye hiyo picha ni vya nani?
 
Back
Top Bottom