Je, DJ Mami wa Wasafi FM ndio DJ bora wa kike kwa sasa?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati.

Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi fm na ameshateka vijiji vyote vya mjini Dar es Salaam.

Mitaa imempitisha na inampa nyota mabega yake yote kama ndio malkia wa DJs.

Vipi wadau mnaonaje maoni ya mitaa ya Dar Es Salaam?
 
Mie hata sijawahi msikia, anaendesha kipindi gani?
 
Hawezi kumzidi DJ Sinorita wa Clouds fm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…