sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati.
Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi fm na ameshateka vijiji vyote vya mjini Dar es Salaam.
Mitaa imempitisha na inampa nyota mabega yake yote kama ndio malkia wa DJs.
Vipi wadau mnaonaje maoni ya mitaa ya Dar Es Salaam?