Je, DJ Mami wa Wasafi FM ndio DJ bora wa kike kwa sasa?

Iko wazi hiyo mbona.
 
Inawezekana kaenda EFM maana toka wamemtoa XXL wakampeleka Amplifier ni kama walikuwa wamemfunika asionekane
Kwani hapo Clouds kila Dj ana kipindi chake maalum, au Dj anaweza kuwa kwenye kipindi chochote!?
 
sipendi mwanamke anayesuka rasta au manywele ya bandia,anayevaa wigi,anayepaka makeup....napenda mwanamke mwenye low cut,na natural face with wanja may be....
 
Zero yupo kwenye XXL tokea 2010..

Scratch designer ndo aliyechukua nafasi yake
mi sijui kama kuna dj mkali hapa duniani kama huyu dogo (scratch designer)

nb; ni mtazamo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…