Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Inawezekana kaenda EFM maana toka wamemtoa XXL wakampeleka Amplifier ni kama walikuwa wamemfunika asionekaneNaona kachukuliwa na EFM.
View attachment 1554846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kaenda EFM maana toka wamemtoa XXL wakampeleka Amplifier ni kama walikuwa wamemfunika asionekaneNaona kachukuliwa na EFM.
View attachment 1554846
Kwamba clouds imeishiwa ushawishiItakuwa bonge la kombinengaa
Xxl walimuweka nani badala yake ?Inawezekana kaenda EFM maana toka wamemtoa XXL wakampeleka Amplifier ni kama walikuwa wamemfunika asionekane
Mammy baby ni mwembamba sanaaaaaa sio kama huyo muonesha matitiMamie na Mammy Baby ni mtu mmoja?
Dj ZeroXxl walimuweka nani badala yake ?
Zero yupo kwenye XXL tokea 2010..Dj Zero
Iko wazi hiyo mbona.Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati.
Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi fm na ameshateka vijiji vyote vya mjini Dar es Salaam.
Mitaa imempitisha na inampa nyota mabega yake yote kama ndio malkia wa DJs.
Vipi wadau mnaonaje maoni ya mitaa ya Dar Es Salaam?
View attachment 1554813
E 20 Jumamosi saa 6 mchana-8B,12 yupo pindi gani Efm
Kwani hapo Clouds kila Dj ana kipindi chake maalum, au Dj anaweza kuwa kwenye kipindi chochote!?Inawezekana kaenda EFM maana toka wamemtoa XXL wakampeleka Amplifier ni kama walikuwa wamemfunika asionekane
Mungu huumba watu tofauti tofauti, nobody is perfectMbona mfupi sana?
sipendi mwanamke anayesuka rasta au manywele ya bandia,anayevaa wigi,anayepaka makeup....napenda mwanamke mwenye low cut,na natural face with wanja may be....Mitaani walimwengu wanazungumza kuwa DJ Mamie ndio DJ nambari moja kwa sasa Africa Mashariki na Kati.
Dj Mamie msomi mwenye degree ambaye alikuwa radio ya EFM kwa sasa anakimbiza kupitia Wasafi fm na ameshateka vijiji vyote vya mjini Dar es Salaam.
Mitaa imempitisha na inampa nyota mabega yake yote kama ndio malkia wa DJs.
Vipi wadau mnaonaje maoni ya mitaa ya Dar Es Salaam?
View attachment 1554813
Kwan sinyorita anasemaje?
Zaidi ya kutangaza matiti Instagram sijui lolote lingine kumhusu
mi sijui kama kuna dj mkali hapa duniani kama huyu dogo (scratch designer)Zero yupo kwenye XXL tokea 2010..
Scratch designer ndo aliyechukua nafasi yake