Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Ila hao majamaa , kama umechunguza huwa wanajiamini sana
 
Tanzania kuna Sheria inapinga ushoga !?
 
Anko T anauza mawigi yupo kibiashara, kwani kaonekana yupo na mwanaume mwenzie wanafanya ushoga??

Hii vita mi naona ni ya wanawake wanaojisell, soko lao la kujiuza limekuwa gumu sasa kila mwanaume wanayemuona wanahisi wanapokonyewa madanga yao..!! 😹😹😹

Fanyeni kazi wadada uchi haujawahi kuwa ajira/biashara ya kudumu..!!
 
Nimesoma comment nimecheka kuna id ya shoga hapa nayo inakemea ushoga nyie mi sitaki..!! 😹😹

Ila member wa JF hawaishiwi vibweka, siku ids zikiwekwa kweupe kuna watu sijui watajificha wapi?
JF kweli kichaka 🤣😹😹😹
 
Ushoga ni ngumu kuthibitisha mahakamani
Ila anachofanya yule jamaa ni hatari Kwa watoto
Mtoto anakuwa anaona ni sawa mtu kuwa shoga
 
Ushoga ni ngumu kuthibitisha mahakamani
Ila anachofanya yule jamaa ni hatari Kwa watoto
Mtoto anakuwa anaona ni sawa mtu kuwa shoga
Yule anafanya biashara ya nywele, hivi kati ya Anko T na Joti nani anahamasisha ushoga?

Joti anaigiza anavaa nguo za kike, anajipodoa na kuringa kama mwanamke mbona hamumkemei?? Mnasema yupo kazini.

Basi na Anko T naye yupo kazini anawaonyesha mawigi yake, hasemi kama anataka mwanaume mwenzie..!!

Hizi kelele ni vita za kibiashara mitandaoni hakuna lolote..!!
 
Hapana bhn hicho ni kichaka
Kuna models wengi anaweza kuwavalisha mawigi wakatangaza.
Kwaiyo akiuza bikini atavaa mwenyewe, akiuza sumu atalamba tuone kama inaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…