AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kitaifa au Kimataifa?laZima tuwe na sheria ya kuwadhibiti hawa wahuni
Kitaifa au Kimataifa?laZima tuwe na sheria ya kuwadhibiti hawa wahuni
Ibara ya ngapi ya katiba? Maana mule utakutana na haki ya faragha sasa hapo ndipo balaa linapoanzia, na huo ndio upenyoKatiba ya jamuhuri ya muungano inapinga ushoga
Tunavukaje kwenye hii hatariSwala la ushoga kwa nchi yetu sidhani kama linaweza kuzulika kirahisi.
Kwanini Joe🤔
Jamii ambazo ushoga upo kwa kiwango cha juu,wana ufurahia kwa kiwango cha juu sana.
Wapi uliona wana ufarahia joe🤔
Kwenye kila sherehe na shughuli za sehemu kubwa ya pwani kwa ujumla wamewafanya mashoga ndio wananogesha sherehe na washehereshaji premium,high class.
Ndio maana wana maisha mazuri sana hawa watu.
Nampa hongera mama gwajima lakini vita sio rahisi kwa ujumla
Hivyo hivyoMikopo na minini? 😹😹😹
Hii hua inaniudhi sana halafu Wanawake ndio wanawapenda sana ila wanawanafikia tu kufanya hawawapendi suala la kuwachukia huja wakipishana ndio hapo wanapowaambia wewe sio wa upande wetu, nishaona sana kuna sherehe moja kulikua na maMC wawili mmoja mwanamke mwingine Chakula nilichoka sana na anaendesha shughuli safi kabisa sasa maneno yanayozungumzwa humo ni hayana afya kabisa sio kwa watoto tu mpaka watu wazima wenye akili timamu, huwezi ukaita MC mwanzo mwisho kila akishika maiki akiongea maneno mawili neno la tatu anazungumzia mambo ya Chumbani tu na kuna watoto hapohapo wanasikiliza, what is this?Kwenye kila sherehe na shughuli za sehemu kubwa ya pwani kwa ujumla wamewafanya mashoga ndio wananogesha sherehe na washehereshaji premium,high class.
Kuishi kishoga, kaishi na nani??Anaweza akafanya biashara zake za wigs na Bado akalinda maadili ya jamii.
Kuishi kishoga, kupaka wanja au lip stick 🍡🏒 sio utamaduni wetu.
Kuhusu watoto kumwona mitandao ipo wazi na juzi alihojiwa. Wasafi Tv
Hili swala halizuiliki ni kama kansa inaposambaa ndani ya mwili wa mtu mwenye kisukari.Tunavukaje kwenye hii hatari
Be real straight man like me usi-left group, umenipataNayaoenda sana kama ******* wengine tu humu🤣
Ni noma sana mkuu,nawazaga sana mwanangu nitamleaje ndani ya huu mji mchafu wenye kila aina ya baya.Hii hua inaniudhi sana halafu Wanawake ndio wanawapenda sana ila wanawanafikia tu kufanya hawawapendi suala la kuwachukia huja wakipishana ndio hapo wanapowaambia wewe sio wa upande wetu, nishaona sana kuna sherehe moja kulikua na maMC wawili mmoja mwanamke mwingine Chakula nilichoka sana na anaendesha shughuli safi kabisa sasa maneno yanayozungumzwa humo ni hayana afya kabisa sio kwa watoto tu mpaka watu wazima wenye akili timamu, huwezi ukaita MC mwanzo mwisho kila akishika maiki akiongea maneno mawili neno la tatu anazungumzia mambo ya Chumbani tu na kuna watoto hapohapo wanasikiliza, what is this?
Ipo siku utajua ukweli ila utakua umechelewa sanaMarehemu Ayatollah na kobazi wengine
Wewe huko ulifata nini? 😹😹Hii hua inaniudhi sana halafu Wanawake ndio wanawapenda sana ila wanawanafikia tu kufanya hawawapendi suala la kuwachukia huja wakipishana ndio hapo wanapowaambia wewe sio wa upande wetu, nishaona sana kuna sherehe moja kulikua na maMC wawili mmoja mwanamke mwingine Chakula nilichoka sana na anaendesha shughuli safi kabisa sasa maneno yanayozungumzwa humo ni hayana afya kabisa sio kwa watoto tu mpaka watu wazima wenye akili timamu, huwezi ukaita MC mwanzo mwisho kila akishika maiki akiongea maneno mawili neno la tatu anazungumzia mambo ya Chumbani tu na kuna watoto hapohapo wanasikiliza, what is this?
Ko mtoto kautaaa, mtoto anauza kitobo taiti, mtoto analiwa utumbo,
Kwaiyo wewe huwezi kumwona Teja unajua anatumia madawa ya kulevya hadi ushuhudie anabwia unga,Kuishi kishoga, kaishi na nani??
Mi nafikiri ili mtu tuamini yeye ni shoga mpaka tumuone kwenye mahusiano na mtu wa jinsia yake..!!
Sasa wewe unaweza kututhibitishia ushoga wake??
Maana hata wewe unaweza ukawa una maumbile makubwa sehemu ya makalio yako. Je, ni haki watu wakikwambia unajihusisha na ushoga? Au umezaliwa na pink lips je, tutatenda haki tukikuita shoga??
Sasa mtoto wako unamruhusu vipi kutazama channel km wasafi? 😡
Channel haina maadili kabisa, inadiscuss umbea na mapenzi muda wote ndio unaruhusu watoto wako watazame??
Mbona kwa Joti unagoma kujibia?
Wewe ulimtazama Joti kipindi uko mdogo mpaka sasa akiigiza kama dada kiboga. Je, kuna sehemu alikuhamasisha wewe kuwa shoga??
We naye mnafique tu, mara usuport mara upinge😆Hii hua inaniudhi sana halafu Wanawake ndio wanawapenda sana ila wanawanafikia tu kufanya hawawapendi suala la kuwachukia huja wakipishana ndio hapo wanapowaambia wewe sio wa upande wetu, nishaona sana kuna sherehe moja kulikua na maMC wawili mmoja mwanamke mwingine Chakula nilichoka sana na anaendesha shughuli safi kabisa sasa maneno yanayozungumzwa humo ni hayana afya kabisa sio kwa watoto tu mpaka watu wazima wenye akili timamu, huwezi ukaita MC mwanzo mwisho kila akishika maiki akiongea maneno mawili neno la tatu anazungumzia mambo ya Chumbani tu na kuna watoto hapohapo wanasikiliza, what is this?
Hebu niache baba usipokuwa straight wewe inatosha😂Be real straight man like me usi-left group, umenipata