Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Kwaiyo wewe huwezi kumwona Teja unajua anatumia madawa ya kulevya hadi ushuhudie anabwia unga,
Huwezi kumtambua mlevi ukikuta anayumba hadi ukute anakunywa.

Kuhusu Jitu anafanya Sanaa
Na anaigiza kama mwanamke wala haishi uhalisia
laZima tumpe nguvu Gwajima jamii tuzuie huu uchafu
Huu ndo unafki sasa tunaoukataa..!!
Joti anafanya sanaa ila mwingine anafanya ushoga..!!

Kama Joti haishi uhalisia kwani Anko T anavaa mawigi anatembea nayo?
Mbona wewe hukuwa shoga kwa Joti kuigiza iweje kwa Anko T uone anahamasisha watoto wako?

Kwahiyo unataka kuniambia Anko T kakuhamasisha ndiomana unaogopa kwa watoto wako?? Si ndio?
 
Mbona hukuumizwa na mauaji ya Samuya ya oktoba 29.
Leo unakuwa mnafiki na kiherehere unaumizwa na mambo ya Iran ambalo hujawahi kufika unaiona katika ramani

Siwezi kuwa supporters wa wezi na uharibifu wa mali za watu
 
Kama tunategemea Dr. Dorocy Gwajima apambane na ushoga tutakuwa tunamtwikwa mzigo mzito sana na kamwe hatafanikiwa.
Ili kupambana na ushoga inabidi tuanzie kwenye vyanzo ambavyo ni ukatili wa kijinsia na kushuka kwa maadili na mambo hayo yanatakiwa yaanzie ngazi ya familia.
Mashoga tunaishi nao mitaani, vyuoni na makazini lakini ujio wa teknolojia ikiwemo mitandao ya jamii, redio hasa fm na tv vimetumika sana kuhamasisha ushoga kiasi cha kuonekana kama jambo la kawaida ni muhimu kutunga sheria kali kuhusu wanaopromoti ushoga ili kunusuru kizazi kijacho.
 
Huu ndo unafki sasa tunaoukataa..!!
Joti anafanya sanaa ila mwingine anafanya ushoga..!!

Kama Joti haishi uhalisia kwani Anko T anavaa mawigi anatembea nayo?
Mbona wewe hukuwa shoga kwa Joti kuigiza iweje kwa Anko T uone anahamasisha watoto wako?

Kwahiyo unataka kuniambia Anko T kakuhamasisha ndiomana unaogopa kwa watoto wako?? Si ndio?
Wewe uko jinsia gani? nisije nikawa natumia akili na maarifa yangu mengi kufanya mjadala na lishoga.
 
Kwaiyo wewe huwezi kumwona Teja unajua anatumia madawa ya kulevya hadi ushuhudie anabwia unga,
Huwezi kumtambua mlevi ukikuta anayumba hadi ukute anakunywa.
Huu mfano wako hauna hoja ya msingi, hiyo ni sawa na kusema kila anayeingia nyumba za kulala wageni wote ni wazinzi..!!
Ukasahau kwamba kuna wasafiri ambao wanalala hapo..!!

Au kila aliyebeba kifurushi ni mwizi.
Lete mfano wenye uhalisia
 
Hiyo vita haiwezi maana sheria zetu haziko wazi, na pia kuna msukumo wa kimataifa achilia mbali wapinzani kina Heche watavyokabia kwa juu ikionekana serikali inawapinga hao wapuuzi.

Inshort ni daktari Gwajima hawezi battle na huyo wa kuitwa Uncle T, kisheria anapigwa knock out japo yupo makini.
 
Wala sio kichaka ni wewe na mtazamo wako, mawigi sioni kama ni tatizo kwake kuvaa na kutangaza kwa muda..!!

Kama angekuwa anayavaa anazunguka nayo hapo tungesikiliza hoja yenu..!!

Kwani Joti hawezi kumuweka mwanamke akaigiza mpaka ajiweke yeye??
Hivi ushawahi kuona content za Joti?

Wanaume wanafki sana hebu anzeni na Joti. Huyu ndo kinara wa kuharibu desturi.

Watoto wanaharibika vipi? Kwamba wewe unawapa simu wamtazame Anko T akiuza mawigi yake??
Basi tukuchape viboko kama unaruhusu watoto washike simu wawatazame watu uliowafollow mitandaoni..!!

Wabongo wanapenda kutumia nguvu kubwa for trivial matters (kuua nzi kwa nyundo). Mambo ya msingi hawapigi kelele ila mambo ya hovyo ambayo wana option ya kuangalia au lah ndo wanaweka nguvu zote hapo. Hili ni tatizo la akili.
 
Huu mfano wako hauna hoja ya msingi, hiyo ni sawa na kusema kila anayeingia nyumba za kulala wageni wote ni wazinzi..!!
Ukasahau kwamba kuna wasafiri ambao wanalala hapo..!!

Au kila aliyebeba kifurushi ni mwizi.
Lete mfano wenye uhalisia
We uko timamu kweli
Kwani anko T ndo mwanaume pekee anafanya biashara ya wigs kwanini wamseme yeye
 
Kuishi kishoga, kaishi na nani??

Mi nafikiri ili mtu tuamini yeye ni shoga mpaka tumuone kwenye mahusiano na mtu wa jinsia yake..!!
Sasa wewe unaweza kututhibitishia ushoga wake??

Maana hata wewe unaweza ukawa una maumbile makubwa sehemu ya makalio yako. Je, ni haki watu wakikwambia unajihusisha na ushoga? Au umezaliwa na pink lips je, tutatenda haki tukikuita shoga??

Sasa mtoto wako unamruhusu vipi kutazama channel km wasafi? 😡

Channel haina maadili kabisa, inadiscuss umbea na mapenzi muda wote ndio unaruhusu watoto wako watazame??

Mbona kwa Joti unagoma kujibia?
Wewe ulimtazama Joti kipindi uko mdogo mpaka sasa akiigiza kama dada kiboga. Je, kuna sehemu alikuhamasisha wewe kuwa shoga??
Umeandika point tupu mkuu, hapo umepiga kwenye mshono ila dah umesema unamruhusu vipi mtoto wako kuangalia TV ya Wasafi hawa madogo na mama zao ndio wanachokipenda hicho masuala ya udaku udaku na umbea umbea mwingi sasa hizo content ndio wanaona zinawalipa sana na kupata views nyingi maana views nyingi ndio biashara inapush na hela nyingi inaingia bila kujua kwamba kuna sehemu wapo watu wanaharibikiwa kwa kupitia hizo contents, tuje kwa Joti Joti aliji-categorise kwenye uchekeshaji na maigizo ya kuchekesha yaan Comedian kwenye pande zote Stand-up Comedy na Drama short Clips, movies and series,

Sasa huyu mnaemuongelea sijajua ni muigizaji au anafanya kitu gani kingine ukiondoa hicho anachofanya? Mimi nikiona kitu hakileti afya kwenye ubongo wangu hua sikifuatilii kabisa, huyo jamaa niliwahi kumsikia Giggy akiwa anamlalamikia sana kuna Clip alituma YouTube nilipokua nachungulia trailers za movies mpya mara ikaja hio Clip nikaiangalia kusogeza muda, sasa nikawa najiuliza huyu Giggy anamuongelea nani maana mimi simjui na siingiagi Insta kabisa zaidi ya JF na X na X yenyewe nimeacha kwa sababu kumejaa picha za X yaan alimsema sana kwenye hio Clip ikabidi niingie Google nikaandika hilo jina ndio ikaja picha aah nikaacha kufuatilia, mara kidogo ikatoka picha humu imewekwa na Caption kuhusu jamaa wa Wasafi kabeba kipochi cha kike fulani hivi kapaka shedo sijui na kavaa mavazi km Mwanamke fulani hivi nadhani unamjua, ikatupiwa humu watu wakamwaga maelezo yao weeee ikaisha hivyo, kwa hio hapo sijajua ni muigizaji au msanii au mtu tu influencer model mwanamitindo au kitu gani? Sielewi ila Giggy alivyokua anamsema anasema jamaa huyo analiwa na wanaume yaan anapakuliwa vizuri tu hio ya Wasafi sijaangalia na sitaki kuangalia kwa afya ya akili na ubongo wangu hua sipendi kujaza takataka zisizofaa, sasa wewe unahisi ukiondoa kufanya hivyo kuvaa mavazi ya kike ni kitu gani kipo nyuma anachojaribu kukiwakilisha kwa muonekano wa kike? Anaigiza anahamasisha au anafanya nini? Na km anahamasisha anahamasisha nini? Kuna yule dogo anaitwa Dullivan na Wozzu nae wameshafanya sana Clip za kike wanaigiza km wanawake wanavaa km wanawake tena nyingi ila ni kwa kutumia category ya uchekeshaji sio vinginevyo, ebu eleza mkuu hapo maana hata nyimbo za muziki wa zamani ulikuta kabisa mwanaume anaimba km Mwanamke yaan Mwanaume anaimba nyimbo kuwasilisha ujumbe kwa sauti ya Mwanaume akiwa km Mwanamke ila anamlalamikia Mume wake eeh ilikua inashtua kidogo au sio?
 
Wewe uko jinsia gani? nisije nikawa natumia akili na maarifa yangu mengi kufanya mjadala na lishoga.
Umeona ulivyo mpumbavu?
Mkileta huruma zenu za kuhukumu wengine hiki ndo kichaka chenu..!!

Sasa mpaka hapo tutakuamini vipi kwamba wewe sio shoga ambaye unamuonea wivu Anko T?

Mwanaume rijali anabishana kwa hoja ukiona anachenga chenga kujadili hoja aliyoleta mara nyingi ni washirika wa huo upande..!!

Siku nyingine usilete mihemko na wivu kwa wanawake wenzio, Hii JF maugomvi na mawivu yenu malizaneni huko mitandaoni sio kuchongeana humu..!!

Unajua nilishangaa ulivyosema una watoto unawaruhusu waangalie wasafi na Anko T nilijua tu wewe sio mzima..!! Mxiewww
 
Swali langu ni rahisi tu
Wewe ni jinsia gani?
Nijibu tuendelee?
 
Wa
Wala sio kichaka ni wewe na mtazamo wako, mawigi sioni kama ni tatizo kwake kuvaa na kutangaza kwa muda..!!

Kama angekuwa anayavaa anazunguka nayo hapo tungesikiliza hoja yenu..!!

Kwani Joti hawezi kumuweka mwanamke akaigiza mpaka ajiweke yeye??
Hivi ushawahi kuona content za Joti?

Wanaume wanafki sana hebu anzeni na Joti. Huyu ndo kinara wa kuharibu desturi.

Watoto wanaharibika vipi? Kwamba wewe unawapa simu wamtazame Anko T akiuza mawigi yake??
Basi tukuchape viboko kama unaruhusu watoto washike simu wawatazame watu uliowafollow mitandaoni..!!
Wanapingaje utamu wa kitobo taiti embu wambie hao. Kama mtu ameamua mwenyewe kukutengea Tako kwanini usimzibue kifuniko, wazibua taro Hilo yakheee
 
We uko timamu kweli
Kwani anko T ndo mwanaume pekee anafanya biashara ya wigs kwanini wamseme yeye
Hapa unayemsema ni wewe na ndo uliyeleta uzi kulalamika..!!

JF unapingwa kwa hoja, hatusikilizi upande mmoja..!!

Sasa wewe mawig mwenzio anauza, wewe unalalamika unahamasishwa kuwa shoga huoni wewe ndio tatizo??

Wig likakufanye uhamasike kuwa shoga kweli? Wewe bhana itakuwa ni michezo yako tu usituchoshe hapa..!!
 
Sema hawa ******* kumamae zao wanalindwa na kutetewa sana na mapunga wenzao wa Ulaya na Marekani vita ni ngumu

Mchina toa tamko kama kawaida yenu "deeply concerned", "condemn" bila kuchukua hatua yeyote ile.

Screenshot 2026-03-20 153006.png
 
Hapa unayemsema ni wewe na ndo uliyeleta uzi kulalamika..!!

JF unapingwa kwa hoja, hatusikilizi upande mmoja..!!

Sasa wewe mawig mwenzio anauza, wewe unalalamika unahamasishwa kuwa shoga huoni wewe ndio tatizo??

Wig likakufanye uhamasike kuwa shoga kweli? Wewe bhana itakuwa ni michezo yako tu usituchoshe hapa..!!
Me Niko hapa kuona ni jinsi Gani tunaweza kumsaidia Waziri Dr Gwajima kupinga ushoga na harakati zote za ushoga kama alivoanzisha hii movement.
Wewe kama ni bwabwa tambua nyie sio vitu vyangu
 
Back
Top Bottom