Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Umeandika point tupu mkuu, hapo umepiga kwenye mshono ila dah umesema unamruhusu vipi mtoto wako kuangalia TV ya Wasafi hawa madogo na mama zao ndio wanachokipenda hicho masuala ya udaku udaku na umbea umbea mwingi sasa hizo content ndio wanaona zinawalipa sana na kupata views nyingi maana views nyingi ndio biashara inapush na hela nyingi inaingia bila kujua kwamba kuna sehemu wapo watu wanaharibikiwa kwa kupitia hizo contents, tuje kwa Joti Joti aliji-categorise kwenye uchekeshaji na maigizo ya kuchekesha yaan Comedian kwenye pande zote Stand-up Comedy na Drama short Clips, movies and series,

Sasa huyu mnaemuongelea sijajua ni muigizaji au anafanya kitu gani kingine ukiondoa hicho anachofanya? Mimi nikiona kitu hakileti afya kwenye ubongo wangu hua sikifuatilii kabisa, huyo jamaa niliwahi kumsikia Giggy akiwa anamlalamikia sana kuna Clip alituma YouTube nilipokua nachungulia trailers za movies mpya mara ikaja hio Clip nikaiangalia kusogeza muda, sasa nikawa najiuliza huyu Giggy anamuongelea nani maana mimi simjui na siingiagi Insta kabisa zaidi ya JF na X na X yenyewe nimeacha kwa sababu kumejaa picha za X yaan alimsema sana kwenye hio Clip ikabidi niingie Google nikaandika hilo jina ndio ikaja picha aah nikaacha kufuatilia, mara kidogo ikatoka picha humu imewekwa na Caption kuhusu jamaa wa Wasafi kabeba kipochi cha kike fulani hivi kapaka shedo sijui na kavaa mavazi km Mwanamke fulani hivi nadhani unamjua, ikatupiwa humu watu wakamwaga maelezo yao weeee ikaisha hivyo, kwa hio hapo sijajua ni muigizaji au msanii au mtu tu influencer model mwanamitindo au kitu gani? Sielewi ila Giggy alivyokua anamsema anasema jamaa huyo analiwa na wanaume yaan anapakuliwa vizuri tu hio ya Wasafi sijaangalia na sitaki kuangalia kwa afya ya akili na ubongo wangu hua sipendi kujaza takataka zisizofaa, sasa wewe unahisi ukiondoa kufanya hivyo kuvaa mavazi ya kike ni kitu gani kipo nyuma anachojaribu kukiwakilisha kwa muonekano wa kike? Anaigiza anahamasisha au anafanya nini? Na km anahamasisha anahamasisha nini? Kuna yule dogo anaitwa Dullivan na Wozzu nae wameshafanya sana Clip za kike wanaigiza km wanawake wanavaa km wanawake tena nyingi ila ni kwa kutumia category ya uchekeshaji sio vinginevyo, ebu eleza mkuu hapo maana hata nyimbo za muziki wa zamani ulikuta kabisa mwanaume anaimba km Mwanamke yaan Mwanaume anaimba nyimbo kuwasilisha ujumbe kwa sauti ya Mwanaume akiwa km Mwanamke ila anamlalamikia Mume wake eeh ilikua inashtua kidogo au sio?
Unajua mimi nimemshangaa, mzazi kabisa anayejielewa anaruhusu vipi mtoto wake atazame channel ya wasafi?

Hapo kosa ni la kwake anamzoesha mtoto wake kufatilia vitu vya hovyo na kuanza kulisha ubongo upumbavu.

Yeye mtu mzima huo muda wa kufatilia hao kina Anko T anaukuta wapi? Anaacha kudownload hata App ya DSE akawekeze na kutazama hisa zinaendaje eti yuko busy kufatilia nani shoga na nani anafanya nini? Si utaahira huo..!!

Hapa JF ni uwanja wa kuchambua hoja sasa yeye kama alifikiri tutapitisha kila chuya inayokuja atapata kisukari sana..!!
 
Me Niko hapa kuona ni jinsi Gani tunaweza kumsaidia Waziri Dr Gwajima kupinga ushoga na harakati zote za ushoga kama alivoanzisha hii movement.
Wewe kama ni bwabwa tambua nyie sio vitu vyangu
Wewe unapinga au unahukumu?
Ukiambiwa weka vithibitisho unavyo?

Acha ujinga wewe box, hata ningekuwa shoga kweli siwezi kukutamani mtu kama wewe ambaye na wewe unahamasika kuwa shoga kwa wigs..!!
 
Unajua mimi nimemshangaa, mzazi kabisa anayejielewa anaruhusu vipi mtoto wake atazame channel ya wasafi?

Hapo kosa ni la kwake anamzoesha mtoto wake kufatilia vitu vya hovyo na kuanza kulisha ubongo upumbavu.

Yeye mtu mzima huo muda wa kufatilia hao kina Anko T anaukuta wapi? Anaacha kudownload hata App ya DSE akawekeze na kutazama hisa zinaendaje eti yuko busy kufatilia nani shoga na nani anafanya nini? Si utaahira huo..!!

Hapa JF ni uwanja wa kuchambua hoja sasa yeye kama alifikiri tutapitisha kila chuya inayokuja atapata kisukari sana..!!
Wasafi media imesajiliwa TCRA
Hakuna tahadhari kuwa watoto hawapaswi kutazama channel ya wasafi.
Me namfatilia Waziri alitoa hiyo taarifa.
We unataka tupuuze mambo ya maadili ya Taifa na jamii ili mtambe na maushoga yenu.
Tutawapinga na tukipata meno kisheria ni kuwabanika mashoga kama mishikaki,
 
Kwahiyo unasubiria TCRA wakupangie watoto wako channel ipi ya kutazama?? Kweli wewe box na una haki kuhamasika kuwa shoga kwa mawig ya Anko T 😹😹

Meno umekosa ya kumkataza mtoto wako kumtazama Anko T wasafi ndo utaweza kwa mashoga?? Pole sana na soon unakuwa shoga kamili trust me..!!
 
Kwahiyo unasubiria TCRA wakupangie watoto wako channel ipi ya kutazama?? Kweli wewe box na una haki kuhamasika kuwa shoga kwa mawig ya Anko T 😹😹

Meno umekosa ya kumkataza mtoto wako kumtazama Anko T wasafi ndo utaweza kwa mashoga?? Pole sana na soon unakuwa shoga kamili true me..!!
Me nawapinga nyie mashoga na agenda zenu
Hapa laZima tupate sheria ya kuwauwa nyie mashoga hadharani.

Tunapinga ushoga wewe unaumia nini?
 
Wewe ni taahira unahamasika kuwa shoga kwa mawig..!!
Kama ww ni shoga nyoosha maelezo
Uzi unapinga ushoga wewe unalalamika tupuuzie ushoga.

laZima tuwapige mawe kama huko Saudi Arabia
 
Anko T anauza mawigi yupo kibiashara, kwani kaonekana yupo na mwanaume mwenzie wanafanya ushoga??

Hii vita mi naona ni ya wanawake wanaojisell, soko lao la kujiuza limekuwa gumu sasa kila mwanaume wanayemuona wanahisi wanapokonyewa madanga yao..!! 😹😹😹

Fanyeni kazi wadada uchi haujawahi kuwa ajira/biashara ya kudumu..!!
Naona uzi unautumia kama nyuklia kwenda kwa watu fulani humu ndani.
 
Back
Top Bottom