Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Najiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa hilo mnanisingizia
Nimegundua kitu, Raisi yeyote asikubali kufa Kabla ya kumaliza ngwe yake aisee
Akifa katikati ya safari yanazaliwa mengi mpaka mtu unajuta kwa mini uliwahi mapema huko ulikokwenda