Kwahiyo jiwe kakubali mwenyewe kufaNajiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa hilo mnanisingizia
Nimegundua kitu, Raisi yeyote asikubali kufa Kabla ya kumaliza ngwe yake aisee
Akifa katikati ya safari yanazaliwa mengi mpaka mtu unajuta kwa mini uliwahi mapema huko ulikokwenda
JPM alifanya hovyo na aliwatisha watu wakae kimya sasa hayo ndio matokeo ya kuwaziba watu midomo ukifa ndio wanafunguka.Najiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa hilo mnanisingizia
Nimegundua kitu, Raisi yeyote asikubali kufa Kabla ya kumaliza ngwe yake aisee
Akifa katikati ya safari yanazaliwa mengi mpaka mtu unajuta kwa mini uliwahi mapema huko ulikokwenda
Angefanyaje kwani, lile kwanza lilikuwa lioga na halikuwa na ushawishi wowote kisiasa kwa wafanya maamuzi wengineNajiuliza tuu,
JPM endapo Angelikuwepo kama raisi ama muda wake wa utawala kuisha,
Aliyekuwa makamo wake ambaye ndiye Rais wetu kwa sasa Angelisema hayo kama aliyosema Washington huko kwa wazungu, ama kwa vile mwenzetu katangulia ndio tunasema na kwa bahati mbaya hawezi hata kusema kwamba kwa hilo mnanisingizia
Nimegundua kitu, Raisi yeyote asikubali kufa Kabla ya kumaliza ngwe yake aisee
Akifa katikati ya safari yanazaliwa mengi mpaka mtu unajuta kwa mini uliwahi mapema huko ulikokwenda
Ben Saanane, Azory, Akwilina,vifushi vya maiti pale coco ⛱, Ruvu list going on and on,next time acha upumbavuWatanzania wapi hao? Unaweza kutuwekea ushahidi?
Tuwekee uthibitisho waliuliwa na serikali.Ben Saanane, Azory, Akwilina,vifushi vya maiti pale coco ⛱, Ruvu list going on and on,next time acha upumbavu
Hata haiwezi kubadilisha ukweli He was the best PresidentHii lugha ya: "angekuwepo wangemsema....."mnapenda sana kuisema sema. Magufuli alipokuwepo watu walimsema, lakini utaona walichofanya(rejea Lissu na wengine). Baada ya kuona kumbe ukimsema kwa kumkosoa unafanywa hivi, watu wakanyamaza, Sasa ameondoka wanasema kitu ambacho walikuwa hawafurahi nacho. Kwa mfano, Magufuli alivyowaambia Wakurugenzi mpinzani akishinda eneo lako wakati nakulipa vizuri, sijui utanieleza nini? Matokeo yake wapinzani wanaporudisha fomu, Wakurugenzi wanakimbia ofisi. Je, kwa uchaguzi wa aina hii, unategemea Taifa lipate viongozi wa aina gani? Watu Sasa wanasema akiwa hayupo.