Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CORONA INADUMU KWENYE MWILI WA MTU KWA MIAKA MINGAPI?Hatujasema kuhusu kifo, tunazungumzia afya njema ya kumudu mikikimikiki ya kazi. Unaweza usife lakini ukawa dhoofu bin hali
Afya yake ni kama ya Waziri Mkuu wa UingerezaLinapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji...
Huyo anayesema hivyo huenda akatangulia yeye haswa huyo mtoa mada ..wewe afya yako umeicheki? ama umebakia kutazama afya za wenzako Nyambafu................Anasema tuna msiba mwingine wa VP kabla ya 2025 .
1. Sikuona popote iliripotiwa kuwa Dr. Mpango liumwa COVID-19.Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye kujua...
Agree with you mate, watu wengine apa wamejikita kuangalia afya za wenzao angali afya zao ata tu uwezo wa kufanya check up ya mwili wake hawezi..tuwe wazalendo na tuweke mada zenye tija na sio umbeya ..umbeya kana kwamba unawashwa na pilipili1. Sikuona popote iliripotiwa kuwa Dr. Mpango liumwa COVID-19
2. Lakini iwe ugonjwa wowote ule mradi sio kilema mtu akipona je asipewe uongozi kisa aliwahi kuuma?...
Kama ilikuwa ni corona (likely ndiyo hiyo) sidhani kama kuna tatizo. Wengi wameugua na kupona.Hatujasema kuhusu kifo, tunazungumzia afya njema ya kumudu mikikimikiki ya kazi. Unaweza usife lakini ukawa dhoofu bin hali
so what? unataka atenguliwe? shame on youCovid si ugonjwa sugu.
Covid wengine wameugua zaidi ya mara moja na wanadunda huku kitaa.Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji...
Unadhani unamjua kuliko mamlaka zilizoona anafaa?Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye kujua.
Tunajua ni majuzi tu Dkt. Mpango alikuwa hoi bin taaban kwa maradhi yanayohusishwa na ugonjwa wa Korona, Tulimuona akikohoa kwa nguvu huku akioneana mchovu sana.
Swali ambalo mimi kama raia ningependa kuuliza, Je Dkt. Mpango yuko physically fit kushika majukumu mazito ya kumsaidia Rais katika nafasi hii aliyopewa?
Tuliona mathalani, Hayati Magufuli alikuwa ni mgonjwa wa muda mrefu wa Ugonjwa wa Moyo, na kama mnavyojua kazi ya Urais ni kazi nzito yenye stress nyingi na bila shaka siyo rafiki kwa watu wenye ugonjwa wa moyo, Je Vetting process ililifikiria hilo suala kabla ya kumpa Magufuli green light ya kugombea urais?
Je, na mfumo wa vetting nchini umelifikiria suala la Dkt. Mpango kuwa makamu wa Rais, Je wamejiridhisha kuwa yuko fit kwelikweli baada ya kuugua Covid-19?
Kitu kingine ninachomshangaa Dkt. Mpango ni kuwa havai barakoa kwenye mikusanyiko, Je akipata Covid tena katika mazingira ya sasa, ukilinganisha na athari ambazo Covid ya kwanza iliupa mwili wake je atakuwa katika hali gani?
Ni wakati muafaka sasa afya za viongozi wetu ziwe ni factor mojawapo kwenye vetting, la sivyo hii ni disaster kwa nchi
Yaani Watanzania dah!So ukishaugua mara moja,basi afya yako wewe ina mgogoro!Kwani wewe hujawahi kuugua?Na hili swala la C-19,hivi mmeshindwa kabisa ku-connect between the dots.Seriously mmeamini kwamba what they say and talk about C-19 is true,mta-aminije watu ambao nia yao siku zote ni kuwatawala na kuwaibia?It is ridiculous. And how about if it is a conspiracy against you!Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye kujua.
Tunajua ni majuzi tu Dkt. Mpango alikuwa hoi bin taaban kwa maradhi yanayohusishwa na ugonjwa wa Korona, Tulimuona akikohoa kwa nguvu huku akioneana mchovu sana.
Swali ambalo mimi kama raia ningependa kuuliza, Je Dkt. Mpango yuko physically fit kushika majukumu mazito ya kumsaidia Rais katika nafasi hii aliyopewa?
Tuliona mathalani, Hayati Magufuli alikuwa ni mgonjwa wa muda mrefu wa Ugonjwa wa Moyo, na kama mnavyojua kazi ya Urais ni kazi nzito yenye stress nyingi na bila shaka siyo rafiki kwa watu wenye ugonjwa wa moyo, Je Vetting process ililifikiria hilo suala kabla ya kumpa Magufuli green light ya kugombea urais?
Je, na mfumo wa vetting nchini umelifikiria suala la Dkt. Mpango kuwa makamu wa Rais, Je wamejiridhisha kuwa yuko fit kwelikweli baada ya kuugua Covid-19?
Kitu kingine ninachomshangaa Dkt. Mpango ni kuwa havai barakoa kwenye mikusanyiko, Je akipata Covid tena katika mazingira ya sasa, ukilinganisha na athari ambazo Covid ya kwanza iliupa mwili wake je atakuwa katika hali gani?
Ni wakati muafaka sasa afya za viongozi wetu ziwe ni factor mojawapo kwenye vetting, la sivyo hii ni disaster kwa nchi
Mtu akiugua covid huwa anajenga usugu wa mwili dhidi ya huo ugonjwa(immunity). Philipo Mpango huko fit sasa hivi .waziri mkuu uingereza alikaa ICU kwenye ventilator kwa wiki nzima leo anadunda. Mpango ametumia oxygen tu hakufika hatua ya ventilator . Yukou vizuri muda huh.
Yaani nyie nyumbu watakia mabaya wenzenu Mungu anakuona...temea mate chini usije ukashangaa kesho yako usione kwan hakuna mwenye Mkataba na MunguSamia kachemka kumchagua Mpango kuwa makamu, afya yake bado haijawa stable, ajiandae kuteua makamu mwingine.
Mmekosa vya kuhoji mmeanza kuhoji afya yake utadhaani mnataka. Nani ameshawahi kuweka hadharani afya yake?
Ulichosema ni kweli.... Post long term effect za Cov 19 ziko nyingi kutegemea na jinsi gani au wapi ilikupiga zaidi. Tuaasume haikupiga upstairs!!Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.