Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

Mmekosa vya kuhoji mmeanza kuhoji afya yake utadhaani mnataka. Nani ameshawahi kuweka hadharani afya yake?
 
1. Sikuona popote iliripotiwa kuwa Dr. Mpango liumwa COVID-19.

2. Lakini iwe ugonjwa wowote ule mradi sio kilema mtu akipona je asipewe uongozi kisa aliwahi kuuma?

3. kwani viongozi wote hawajawahi kuumwa magonjwa yoyote yale na wakapona na wanaendelea na Maisha?

4. Uhai wa mtu Mungu ndie ajuae, as long as Dr. Mpango is healthy kwa sasa he deserves the post, na he the best choice Mh Rais has made, tuwaombee Afya njema na utendaji uliotukuka
 
1. Sikuona popote iliripotiwa kuwa Dr. Mpango liumwa COVID-19
2. Lakini iwe ugonjwa wowote ule mradi sio kilema mtu akipona je asipewe uongozi kisa aliwahi kuuma?...
Agree with you mate, watu wengine apa wamejikita kuangalia afya za wenzao angali afya zao ata tu uwezo wa kufanya check up ya mwili wake hawezi..tuwe wazalendo na tuweke mada zenye tija na sio umbeya ..umbeya kana kwamba unawashwa na pilipili
 
Wewe shida yako ni kwa vile ni mgalatia.

Nafahamu fika mlimtaka Dr Dau ama mwandishi nguli Mohamed Said.

Kuugua na kupona ni maisha tuliyoumbiwa wanadamu.

Ni nani asiyeugua?

Sidhani kama kule kuugua kwake wiki zilizopita ndo unafungulia uzi.
 
Unadhani unamjua kuliko mamlaka zilizoona anafaa?
 
Kocha wa Arsenal ateta alikuwa na Corona now ameshapon anaendelea na Kaz so ugonjwa ni stage Kama makuzi tu ya mtoto
 
Yaani Watanzania dah!So ukishaugua mara moja,basi afya yako wewe ina mgogoro!Kwani wewe hujawahi kuugua?Na hili swala la C-19,hivi mmeshindwa kabisa ku-connect between the dots.Seriously mmeamini kwamba what they say and talk about C-19 is true,mta-aminije watu ambao nia yao siku zote ni kuwatawala na kuwaibia?It is ridiculous. And how about if it is a conspiracy against you!

Hebu sikiliza clip ifuatayo, labda itasaidia kukufungua masikio.
 

Attachments

  • VID-20210329-WA0000.mp4
    4.2 MB
Makamu wa Rais ana mikiki ipi zaidi ya kukata utepe wa kufungua majengo, madarasa na kupanda miti?
 

ANYWAY HE NEEDS A BOOSTER SHOT, BECAUSE THE TANZANIAN COVID VARIANT IS VERY ELUSIVE AND LETHAL!!!
 
Samia kachemka kumchagua Mpango kuwa makamu, afya yake bado haijawa stable, ajiandae kuteua makamu mwingine.
 
Samia kachemka kumchagua Mpango kuwa makamu, afya yake bado haijawa stable, ajiandae kuteua makamu mwingine.
Yaani nyie nyumbu watakia mabaya wenzenu Mungu anakuona...temea mate chini usije ukashangaa kesho yako usione kwan hakuna mwenye Mkataba na Mungu
 
Mmekosa vya kuhoji mmeanza kuhoji afya yake utadhaani mnataka. Nani ameshawahi kuweka hadharani afya yake?

LAZIMA WAWE WACHAWI JINA LAO WALILOMPELEKEA RAIS LILITUPWA KWENYE DUST BIN!!
 
Ulichosema ni kweli.... Post long term effect za Cov 19 ziko nyingi kutegemea na jinsi gani au wapi ilikupiga zaidi. Tuaasume haikupiga upstairs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…