Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

Samia kachemka kumchagua Mpango kuwa makamu, afya yake bado haijawa stable, ajiandae kuteua makamu mwingine.

ACHENI UCHAWI, TRUMP PIA ALIUGUA CORONA NA AKAPONA, MPANGO SASA AACHE MAMBO YA KISWAHILI LAZIMA KUAMINI SCIENCE MAMBO YA TUNGULI WAACHANE NAYO, WAENDE KUPATA CHANJO!!
 
ACHENI UCHAWI, TRUMP PIA ALIUGUA CORONA NA AKAPONA, MPANGO SASA AACHE MAMBO YA KISWAHILI LAZIMA KUAMINI SCIENCE MAMBO YA TUNGULI WAACHANE NAYO, WAENDE KUPATA CHANJO!!
Kwani wewe mwenzetu umesha chanjwa????????????
 
Mkuu una akili sana. Ningekea na mtoto wa kike ningekupa kama zawadi. Hili swala kama ilivokawaida ya wabongo kudharau topic zenye tija. Watakukimbia. Ila historia inaonesha viongozi wengi wa afrika wanafeli sana kwa matatizo ya kiafya. Why kweli kama unavosema wafanyiwe veting or otherwise wachukue vijana majukumu yenye stress na dhoruba
 
Kama ni Covid tu basi shaka ondoa, atakaa fresh muda si mrefu.

Ungesema anaumwa matatizo ya Moyo ndio ningekuwa na wasiwasi na Afya yake.
 
Je, na mfumo wa vetting nchini umelifikiria suala la Dkt. Mpango kuwa makamu wa Rais, Je wamejiridhisha kuwa yuko fit kwelikweli baada ya kuugua Covid-19?
Kuugua sio kufa bibie
Hebu tafuta Jambo jingine,hata Boris Johnson aliugua chupu chupu lakini mpaka leo bado PM wa uingereza
 
Mpango ameugua na amepona. Ni jukumu la madaktari wake kuhakikisha wanampa ushauri wa kitabibu ili azidi kuimarika.

Kuugua siyo kifo. Kuugua kama alivyougua Mpango, tena kwa umri ule, na akatoka salama, naamini mfumo wake wa afya ya mwili upo salama.

Mpango hakuwa mwamini wa siasa za hila za kuwadanganya watu kuwa Tanzania hakuna corona. Aliwatangazia wafanyakazi wa Wizara yake wajihadhari na corona.

Naamini mpango ni mtu sahihi ambaye kwa miaka mitano amefanya kazi na mtu ambaye hakuwa sahihi.
 
Mkuu mbona unawazo mgando sana? Kwani ww uko fit kwa afya yako?? Huwa nashangaa sana post zako zimejaa negativity tu..who are you? Are you a normal human being kwel..probably you not but allien..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…