Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Wagalatia hampewi tena nchi
 
Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Mbona mna overrate sana "system"? Kama hao system ndio wanaelewa sana nani anaifaa nchi kivipi walimpa urais JPM ilihali walijua anatembelea moyo wa plastic? Okay Samia naye alipangwa na system awe Rais? Mbona ni kama zali tu hivi?

Hao system mnawakuza sana ila hawana hizo akili mnazowasifia humu otherwise hizo balozi zetu kusingekua na ufisadi ilihali tumewajaza huko
 
Duh !
 
Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Mkuu Freed Freed, hoja hii ni kweli, kwasababu huu ndio utaratibu wa kupokezana kati ya Mkristo na Muislamu, na akiwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki!. Dr. Mpango ni Mkristo Mkatoliki. Kuna wengi wanahesabu za 2030, mimi hesabu zangu ni 2025!. Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Wachaga bhana,, yaani bado unaota ndoto za Chadema kushika "dola",,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…