Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Ni mtu mwaminifu,ana weledi unaotakiwa,ni mpole na mnyenyekevu,kwa hiyo anatufaa kama Rais,ila ajiuze kama Mpango,sio kwa banner ya CCM.
Infact kwa jinsi upepo wa kisiasa unavyokwenda, CCM wangeachana na Samia 2025 na wamuweke Mpango kama mgombea wao,in that way I see them winning easily,kwa kuwa Watanzania wengi bado ni wajinga.Samia kavuruga sana,kukubali ubia na Waarabu kwenye Bandari!Huku ni kuuza rasilimali zetu vijana wetu kwa Waarabu kama mashoga,mbona hiyo ndiyo kazi yao.
Hata hivyo to me CCM ni chumvi iliyo-haribika,wamewafanyia Watanzania mengi sana maovu,and are incapable of delivering kwa hiyo waondoke,ingawa wana uwezo waku-reorganize na wakafanya vizuri kama wakiamua.Kapo ka-clique ka watu wachache kanakoiharibu CCM,hako wakika-eliminate,CCM can do better.
Tatizo la opposition ni kwamba haipo competent na ni wachumia tumbo tu kama CCM.
Unajua mkuu,Magufuli alifanya vizuri kuto waongezea wafanyakazi mishahara.Wafanyakazi wetu mpo very selfish. Mnataka kuongezewa mishahara wakati wenzenu wengi hata mlo mmoja kwa siku hawapati?!Ni lazima tugawane wote keki ya Taifa sawa.Naomba nirudie, uamuzi wao ulikuwa sahihi kabisa.