Huyu ni wa kanda maalum huko serengeti.Hao Nyansaho sio wale raia wa upande ule kweli?
Unampigia debe au
TUTOLEE USHETANI WAKODkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan.
Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho ni mmoja kati ya watu sita walioteuliwa na Rais Samia kuwa Wabunge. Uteuzi huo umetafsiriwa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kama ishara ya mabadiliko ya baraza la mawaziri linalotarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Tangu mwaka 2023, Dkt. Nyansaho amekuwa akishika nyadhifa kadhaa katika taasisi za umma. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mwenyekiti wa Bodi ya Watumishi Housing Investments (WHI). Mwezi Mei 2024, aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Kabla ya kuingia katika sekta ya umma, alihudumu kama Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara katika Benki ya Azania. Pia amewahi kushiriki katika taasisi za uwekezaji na uhifadhi kupitia nafasi mbalimbali za uongozi.
Baadhi ya nyadhifa alizowahi kushika ni:
Iwapo atateuliwa, Dkt. Nyansaho atachukua nafasi ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambaye ameiongoza Wizara ya Fedha tangu mwaka 2021. Mabadiliko haya yanatarajiwa kuwa sehemu ya mchakato wa marekebisho ya baraza la mawaziri unaolenga kuimarisha utendaji wa serikali.
- Mwenyekiti wa Bodi – Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
- Mwenyekiti wa Bodi – Watumishi Housing Investments (WHI)
- Mkurugenzi Mkuu – Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)
- Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara – Benki ya Azania
- Mjumbe wa Bodi – Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)
- Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini – Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
Rais Samia anatarajiwa kutangaza baraza jipya la mawaziri katika siku chache zijazo.
Pia soma: Kwanini Dkt Rhimo Simeon Nyansaho anaaminiwa sana na Rais Samia? Kunanini nyuma ya pazia
Pesa huwa hazitoshi. Once you get it, you dare for more!Ameshapiga hela vya kutosha, zinamtosha
Wizara apewe mkenda ainyoosheDkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan.
Taarifa kutoka Ikulu iliyotolewa jana imesema kuwa Dkt. Nyansaho ni mmoja kati ya watu sita walioteuliwa na Rais Samia kuwa Wabunge. Uteuzi huo umetafsiriwa na wachambuzi wa masuala ya kisiasa kama ishara ya mabadiliko ya baraza la mawaziri linalotarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Tangu mwaka 2023, Dkt. Nyansaho amekuwa akishika nyadhifa kadhaa katika taasisi za umma. Kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mwenyekiti wa Bodi ya Watumishi Housing Investments (WHI). Mwezi Mei 2024, aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF).
Kabla ya kuingia katika sekta ya umma, alihudumu kama Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara katika Benki ya Azania. Pia amewahi kushiriki katika taasisi za uwekezaji na uhifadhi kupitia nafasi mbalimbali za uongozi.
Baadhi ya nyadhifa alizowahi kushika ni:
Iwapo atateuliwa, Dkt. Nyansaho atachukua nafasi ya Dkt. Mwigulu Nchemba, ambaye ameiongoza Wizara ya Fedha tangu mwaka 2021. Mabadiliko haya yanatarajiwa kuwa sehemu ya mchakato wa marekebisho ya baraza la mawaziri unaolenga kuimarisha utendaji wa serikali.
- Mwenyekiti wa Bodi – Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)
- Mwenyekiti wa Bodi – Watumishi Housing Investments (WHI)
- Mkurugenzi Mkuu – Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF)
- Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara – Benki ya Azania
- Mjumbe wa Bodi – Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)
- Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini – Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
Rais Samia anatarajiwa kutangaza baraza jipya la mawaziri katika siku chache zijazo.
Pia soma: Kwanini Dkt Rhimo Simeon Nyansaho anaaminiwa sana na Rais Samia? Kunanini nyuma ya pazia
Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa Mbunge na Rais Samia Suluhu Hassan.