Je, Dkt. Nyansaho ndio Waziri wa Fedha ajaye? Mrithi wa Mwingulu Nchemba!

Je, Dkt. Nyansaho ndio Waziri wa Fedha ajaye? Mrithi wa Mwingulu Nchemba!

Kama ameshawahi kuwa mwenyekiti wa bodi Tanesco atakua waziri wa nishati
 
Watendaji wakuu katika Wizara ni Makatibu Wakuu, Wizara ikiwa na Katibu Mkuu ambaye ni mtendaji mzuri Wizara itafanya kazi zake vizuri sana.

Ukiwa na Waziri wa Wizara na Katibu Mkuu ambao ni watendaji wazuri, utaendaji kazi wa hiyo Wizara utakuwa mzuri sana.
 
What's special about this nigga, cv imejaa vyeo vya teuzi tu..
akili ya watanzania wengi ni dhaifu sana..anasifia mtu hana kitu/alama yoyote kwenye eneo lolote kuthibitisha uwezo wake kichwani..! ni dr. wa title tu, nafasi hizi km waziri wa fedha zimefanywa rahisi sana kwamba mtu yeyote anaweza kuwa waziri wa fedha, ndio matokeo ya kuwa hata na mwigulu km waziri wa fedha..iko kazi, au huyu ambae amesaidiwa kupora uchaguzi na kujitangaza rais..
 
Kuna wakati mlisea dk kimei atam replace mwigulu lakini haikutokea. Mwigulu aendelee tu na wizara hiyo imemkaa vema yule mjuba. Sasa ukimtoa fedha umpeleke wizara gani? yule ni mgumumgumu, wizara ngumungumu zinamfaa, peleka hata ujenzi, ulinzi au mambo ya ndani tena. kuna ingizo jipya la makonda, yule naye ni mgumumgumu na wizara inayomfaa ni mambo ya ndani
 
Back
Top Bottom