Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

CHADEMA inapofeli ni kudhani inaweza kuiondoa CCM peke yake.
Nani kasema hivyo? Acha ku impose wishes na thinking zako kwenye mind za watu! Wapi chadema ilisema itaiondoa madarakani peke yake? ...wewe si tuakujua ni CCM miaka yote ya Jiwe na leo! Potelea huko huko!
 
Dkt Slaa yumo Pichani?
Kwani siasa ni uadui? Muda wa uadui ukifika hata msituni itaundwa wing ya "msituni", LAKINI LEO NGOJA TUIPE DIPLOMACY ITS STAKE IN THE FUTURE OF TANZANIA/TANGANYIKA
 
Kwamba Ili Chadema waitoe ccm lazima.waunganne na TLP, TADEA, UDP na APPT Maendeleo?

You are not serious you must be lumumba fc
Huo ndio ukweli! Chadema isijidanganye.
 
Usichanganye mambo. CCM ya Magufuli, kamwe siyo CCM ya Samia. Hili tulishaliwekea mada yake yenyewe humu humu JF
Ccm ni ileile mkuu! Subiri harakti za uchaguzi zianze hapo ndio utaona sarakasi za ccm.
 
DR.SLAA ASIAMINIWE TENA NI ASKARI MSALITI ANANUNULIKA WAKATI WOWOTE NA KWA BEI YOYOTE ALIISALITI CHADEMA KATIKATI YA VITA KWA VIPANDE VYA FEDHA NA UBALOZI
 
shallow thinking! Siasa si uadui unless utangaze uadui kama shetani Jiwe
Umejisoma lakini? Ni nani aliyebubujikwa na uhasama na hasira, Who is expressing enimity? Huo sio Uadui huo?

Unapigana na mfu?

Muwe wakweli, DKT Slaa na Advocate Mwabukusi ndio waliowarudisha kwenye Front page magazetini baada ya 255 kubuma. Mmerusha mahedikopta weee, mmemzungusha kivutio wenu weee, lakini wapi. Kisa mkasa....Mnasusa, Mnasuasua na hamna Umoja. Isitoshe, hamna "Dhamira"

Inaeleweka, ni baada ya Sauti ya Watanzania kushikilia kidedea suala la mkataba wa Bandari ndio CHADEMA mkaja na 255 2.0-Okoa bandari. That is a fact.

...halafu mnaumuka na ati Shallow thinking!

What a shallow response!
 
Kwani siasa ni uadui? Muda wa uadui ukifika hata msituni itaundwa wing ya "msituni", LAKINI LEO NGOJA TUIPE DIPLOMACY ITS STAKE IN THE FUTURE OF TANZANIA/TANGANYIKA
Wewe ndio umeleta hayo ya Uadui. Picha niliyoweka na swali nililouliza ni direct response ya "Kujipenyeza" unaona nani anayejipenyeza kwenye hizo picha. Take your pick! Umemuona Dkt Slaa?
 
Wewe ndio umeleta hayo ya Uadui. Picha niliyoweka na swali nililouliza ni direct response ya "Kujipenyeza" unaona nani anayejipenyeza kwenye hizo picha. Take your pick! Umemuona Dkt Slaa?
Have a nice day! Enjoy your dealings of today!
 
Nguvu ya CCM ni kutegemea polisi na akina Decha bila hao chama kimoja tu kinatosha kubadilisha jina la CCM na kuwa hayati CCM,Zanzibar CCM imegharagazwa Mara nyingi tu na CUF,na ACT bila mashetani hayo CHADEMA peke yake kwa kushirikiana na nguvu ya umma inatosha kuiondoa CCM ndani ya dk5 na wao wanalijua hilo ndio maana wamejiambatanisha na akina Decha.
 
Dr. Slaa asichokijua ni kuwa watu walishapoteza imani naye, hata kuja kuaminika tena kwa siasa za upinzani, hivyo wazi wanadeal naye kwa Machale na tahadhari kubwa
 
Kumbe na Mdude Nyangali ni TISS kwa mjibu wa bandiko hili ? Sasa nani ana uhakika kuwa Freeman sio TISS pia ? Nawaambia hatuna chama cha Upinzani Tz. Twendeni tukalime mvua zinanyesha. JK alijenga jukwaa baya la kisiasa mwanzoni kulinda chama kimoja kwa hofu ya nchi za nje. Labda boresho liwe hivi vyama kivuli vya upinzani tukaeni tutengeneze namna nzuri ya kwenda kwenye maendeleo ya kinchi.
Mbona Marekani kuna vyama viwili vinapokezana lkn malengo ya kiinchi yanabaki bila kuingiliwa kisiasa ?
 
Kwani ACT huioni
 
Chadema wao peke yao hawawezi kuja kutokea waitoe ccm, NEVER !!

Inabidi kuwe na vyama ziada vya upinzani na kuwe na muungano wa hivi vyama sio mpaka kampeni zifike.
Hadi Sasa Kuna vyama vingi vya upinzani. Hiyo kuungana kwa vyama ni kama kumefeli. Rejea unganiko la ukawa na kilichotokea. Ccm itatoka kwa machafuko au mapinduzi ya kijeshi. Wala sio kwa kura kupitia chaguzi za kihayawani.
 

CCM hoyee! Ila mtawapata mamburula kama ninyi tu.

Hatudanganyiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…