Je, Dkt. Wilbroad Slaa anajipenyeza CHADEMA kiaina kuimaliza kazi aliyopewa na CCM?

Hii kauli ya ''kuungana'' inayotumiwa na CCM ili kuwakatasha tamaa watazania. CCM inajua kabisa vyama vingi vya upinzani kama TLP, CUF, John mapesa, Zitto nk ni wakala wa CCM hivyo hawatakaa waungane na Chadema kwa nia njema. Hii ni kauli ya zamani sana.
 
Chadema wao peke yao hawawezi kuja kutokea waitoe ccm, NEVER !!

Inabidi kuwe na vyama ziada vya upinzani na kuwe na muungano wa hivi vyama sio mpaka kampeni zifike.
Waungane na vyama vya mfukoni ?
 
Kwahiyo unataka CHADEMA waunde vyama vingine hivyo quality ?
 
nyie hilo lichama ni mfu mnahangaika na marehemu. Kikubwa nyie ni idiot
 
Sababu za Mbowe kuachia njiani mjadala wa Bandari kuwa Wana mambo mengi au hawakushirikishwa mapena ni za kitoto.

Wangetwambia HOFU Yao kushirikiana na Mwabukusi & co ni ipi tujue mapema.
Wewe ndiye mtoto. Wako break na sasa wanaanza kanda ya Kusini! Wameachaje agenda ya bandari? Agenda ni zile zile! Au umetumwa?
 
Kwamba Ili Chadema waitoe ccm lazima.waunganne na TLP, TADEA, UDP na APPT Maendeleo?

You are not serious you must be lumumba fc
Tundu lissu alisema wako tayari kuungana na shetani ili kuitoa CCM.
Nyumbu ovyo kabisa.
 
utaanzishaje chama bila kuandikishwa na mamlaka, kwa mfano, Wizara ya Mambo ya Ndani AU ipo njia nyingine ya mkato. Tufafanulie
 
Chadema wao peke yao hawawezi kuja kutokea waitoe ccm, NEVER !!

Inabidi kuwe na vyama ziada vya upinzani na kuwe na muungano wa hivi vyama sio mpaka kampeni zifike.
May be kweli hawawezi peke yako isipokuwa na wewe umeingia kwenye harakati hizo. Au wewe haikuhusu?
 
Wanatakiwa wamuache abwabwaje huku na huko,wasimjibu kwa lolote
 
Wanatakiwa wamuache abwabwaje huku na huko,wasimjibu kwa lolote
Hana lolote yule mzee
Yeye kama watanzania wengine ana haki ya kupigania haki za Kitaifa lakini hana influence tena kwenye kundi la kijamii au chama kikubwa akama Chadema.
 
Chadema imegundua, ikiunga a na chama chochote, CCM wanapitia njia hiyo kuwavuruga, akina lipumba erc wakiwapo?
Wameamua kusimama pekeyao, huo ndio mpango!
 
Huwa nakuwa na wasiwasi na kumbukumbu zetu. Hivi nani aliharibu hewa pale chadema ule mwaka? Yote haya hayangetokea kama Mbowe hangemkaribisha Lowasa wakati huo anaitwa fisadi aje chadema agombee Urais. Full Stop
 
We ndio huna kumbukumbu
 
Chadema wao peke yao hawawezi kuja kutokea waitoe ccm, NEVER !!

Inabidi kuwe na vyama ziada vya upinzani na kuwe na muungano wa hivi vyama sio mpaka kampeni zifike.
Lakini hivyo vyama vya ziada lazima vipimwe katika mizani na waonekane hawakupungua katika mizania ya CHADEMA. Kumbuka hata Afrika Kusini kulikuwa na vyama vya siasa ambavyo vilikuwa vinapigania uhuru sawa sawa na ANC, lakini vilionekana kuwa tofauti na ANC kwenye baadhi ya mambo, hivyo ikabidi ANC iendelee kivyake
 
Dr Slaa ni virus.

Unalijua hilo sema unaonekana wewe upo kwenye hiyo syndicate yake ya kuwatega Chadema
 
Si lazima kila sehemu iwe hivyo.Kujitenga na muovu nayo ni maono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…