Je, DPP atalazimika kuiondoa Kesi ya akina Halima Mdee kama alivyofanya kwenye Kesi ya ugaidi ya Mbowe?

Kwani aliyefungua ni DPP?
 
Kesi ya kina Mzee Halima Mdee na wenzake ni civil procedure kwa hiyo haina uhusiano na DPP!
 
UVCCM wengi wamelaaniwa
 
Huyu je alitokaje lupango ili kuwahi kuapishwa?
 
This time Kesi itakuwa kama ya zitto kabwe tu Kesi had inafika 2015 haikusikilizwa ni kalenda tu

Serikali wakitaka jambo lao wanaweza

Na Raisi hawez kukubali waingie wapinzani pure kabisa mule ndani kwa kuogopa kuwaimarisha Chadema kuelekea 2025 huku nguvu Yao itakuwa kubwa Sasa ni Bora waendele na akina mdee ambao hawawezi kuleta upinzani Sana bungeni
 
Safi sana. Tunasubiri tamthilia nyingine tamu.
 
Kwa hiyo kila kesi ya madai iliyopo mahakamani Ina hao mawakili wa taasisi za serikali? Mbona haya ni mapya tena?

Tuache kipenga kilie mpira uanze. Ila serikali itaumbuka na hasa time ya uchaguzi na Spika wa Bunge.
Wala hili suala sio la kubishana hapa, mtoa post amekosea kusema DPP. DPP hahusiki na aina ya kesi kama hizi
 
Kwa hiyo kila kesi ya madai iliyopo mahakamani Ina hao mawakili wa taasisi za serikali? Mbona haya ni mapya tena?

Tuache kipenga kilie mpira uanze. Ila serikali itaumbuka na hasa time ya uchaguzi na Spika wa Bunge.
Elewa kwamba tume ya taifa ya uchaguzi ni moja ya wajibu madai katika kesi ya msingi.Mawakili wa serikali wapo kwa sababu kama hiyo.Sijasema kila kesi ya madai,kesi za madai zisizohusu serikali hazihusishi mawakili wa serikali.
 
Tafuta chakula cha watoto wako!
usihangaike na haya mambo hutayaweza ni ushauri tu.
Lakini hujui kuwa chakula changu cha watoto, kinapungua kutokana na hao wabunge, "wanaozikomba" pesa zetu za kodi, bila kuwa na chama, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?😄
 
Ajabu!

Hebu muulize huyo mtetea maovu, Ili alifafanue na hilo
Sheria ni tasnia sio ya kukurupuka ipo hivi..kwa mfano unapofungua kesi ya madai inayohusisha taasisi yoyote ya serikali lazima mwanasheria wa serikali awepo yeye anakua kama necessary party kwaio mawakili wa serikali wapo hapo kuziwakilisha taasisi husika za serikali...😂😂😂
 
Ila we ni kilaza sana DPP hapo anahusikaje
 

..inawezekana hakuna aliyesaini.

..inawezekana Nec na Cdm hawakuhusika na ubunge wa kina Halima.

..Cdm au Nec wangekuwa wamehusika dokoment zote zingewekwa hadharani.
 
Kama haijafunguliwa na Jamhuri, ni kitu gani kinachofanya ionekane "imebebwa" na Bunge letu pamoja na vyombo vyake?

Kwa kuwa siyo siri tena, hata mtoto anayesoma chekechea analijua hilo
Upuuzi wako utaisha lini?
 
Chadema mnakosa hoja Sana,

Nyie hamtaki vile viti, na mlisema public,

Sasa mna makelele ya nn? Akili yenu tumeijua wale ni wabunge mpaka 2025

Huko mahakamani mnagaragzwa mpaka mtashangaaa
Sasa kama chadema hawataki viti kule bungeni tujuze kilichowafanya kina hawo halima kupokonywa ubunge wao kwemye ucahguzi wa 2020 nini?

Kwanini magu alitumia nguvu kubwa ya kuweza kuua,kuweka kura feki n.k mabaya ili tu chadema wakose ubunge akiwemo huyo halima.


Sasa wao wamepelekwa ni serikali ila wanatumia chama chá chadema Kwanini wasitumie ccm kwa vile wameshafukuzwa?

Waliishitaki chadema Sasa bila ya chadema kuenda mahakamani itakuwaje?


Hili ni tatizo lenu nyinyi ccm mlilolifanya 2020 kwa ujinga wenu.


Chadema wanaubavu wakumtoa mfungwa ili akaapishwe na awe Mbunge?
 

Story zote unaongea ni hear say! Hakuna hata moja ya udhibitisho, na wala hakuna kesho wala shitaka la hayo uliyoongea
 
We should not pre-empty this case, let's see what shall evolve in the court of law.
 
Story zote unaongea ni hear say! Hakuna hata moja ya udhibitisho, na wala hakuna kesho wala shitaka la hayo uliyoongea
Kama ni hearsay habar ndio hiyo niliyokwambia. Kuna mwizi anaejitangaza kwamba mimi naiba.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…