Elections 2010 Je, Dr. Willibrod Slaa atatufaa?

Elections 2010 Je, Dr. Willibrod Slaa atatufaa?

Don't flatter urself..yaani ulitaka Slaa aache mambo yake nyeti ajibu hoja zako kuhusu 'ufanisi wa viingereza na punctuation' ambavyo wewe mwenyewe umeshindwa kudemonstrate? Hata ningekuwa mimi ningekupuuza tu ningekuona unanipotezea muda tu.

BTW, sio lazima ajibu, maana yeye ni individual tu na hawezi kujibu maswali yote ya CHADEMA as chama..ndio maana kuna PR departments kwene organisations.

Ukweli unabaki aliahidi kujibu swala lolote, kaulizwa na hajajibu.

Sasa kama anashindwa kutimiza ahadi hizi ndogo tu tutategemea kwamba atatimiza ahadi za uchaguzi ?
 
Kipimo cha umakini ni umakini, fine enough, umakini ambao wewe mwenyewe umeshindwa na
umekiri kushindwa kuu-demonstrate.
Mwanasiasa na mwanazuoni ipo tofauti KUBWa.Sababu kwamba mtu alikuwa mwanazuoni
kisha kuwa mwanasiasa haina maana ana wajibu na majukumu yaleyale, maana kule
kwene uanazuoni inabidi a-demonstrate vitu fulani mbele ya wenziwe ili kuendeleza
libeneke la uanazuoni wake.Kila moja lina requirements zake. Kwanza nimeweka scenario
2 hapa, moja kwamba mwanazuoni anawasilisha kazi yake inakataliwa na pili mwanasiasa Slaa
anajibu hoja ya say,Malaria Sugu JF. Wewe ukadismiss scenario ya kwanza kwamba sio KIPIMO ila ya pili ni kipimo..narejea tena kusema huu ni upuuzi.

Hoja ya kwanza hapa ni kwamba kama kuandika JF ni kipimo cha umakini,
kwanini mwanazuoni kuandikia kazi na kuipeleka kwenye chapisho linalohaririwa isiwe kipimo.

pili, furthermore nimesema hapa JF sio mahala pa kusema kwamba Slaa alitakiwa aandike
kwa standards za article ya gazeti au kitabu..this is a damn forums..ni sawa kuandika
vyovyote ili mradi kinasomeka na kueleweka. Ukitaka kumpima kwenye maandishi JF sio mahali pake.

It doesn't matter, utasema tu.

Kungekuwa hakuna readability ni wazi hakuna mtu angeuliza content, watu wangeuliza awasilishe upya post yake. Suala kwamba umeweza kuona hiyo 'onus of proove', ni wazi u were able to read the msg. Imeumiza macho lakini it was readable.

Kama nilivosema, JF sio sehemu ya kupimia umahiri wa makatibu muhtasi ..wewe unatafuta secretary wakati wenzio wanasaka Rais, sasa how do u explain wale ambao hawapo JF kama criterion ni ukatibu muhtasi JF? its getting really funny.

Kusaka urais manake unatakiwa kuwa malaika asiyeandika 'onus of proove', ila wengine ni ruksa sivo?

Might be flawed self-importance or grandeur. Sadly i don't know how many jayefers really cares.

Kama kawaida yetu wabongo, tunatetea mediocrity na kukataa mtu yeyote anayekuwa dedicated to excellence with a critical eye.

Ndiyo maana hatuwezi kuendelea.

Unachanganya mambo, the fact kwamba JF si academic journal haimaanishi kuandika bila paragraph wala kufuata kanuni za uandishi ni sawa tu, ukiandika hivyo popote watu tutakuona huna umakini.

Na kama unagombea urais tutaona ndio kabisa, unashindwa presentation tu, je complex issues utaweza kung'amua ?
 
katumia mobile. pia ana haraka zake na hana muda wa kutosha kujibu hoja. pia uelewe kuwa kawaheshimu sana wanajamvi hadi kufikia hatua ya kujibu hoja. kwa hilo inabidi umpe tano

Msitake kumu excuse,

Mtu makini akiona atakachoandika kitatoka fyongo haandiki kabisa. Kwani alilazimishwa ku post ?
 
Dr unaandika bila hata ya paragraph watu watashindwa kusoma.

Halafu "the onus of proove' ndiyo kitu gani mkuu? Kama Kiingereza mambo fulani tuandike Kiswahili tu tutaelewana, hii mikogo ya Kiingereza cha kuunga unga inakuaibisha tu.

Kiswahili cha first person na third person kinachanganywa humo humo wakati mtu (Dr.) anajiongelea mwenyewe !

Na inakuwaje CHADEMA mkawaachia CCM kuchukua majimbo 10 bila kupingwa, mengine wagombea hawarudishi fomu, mengine wanarudisha fomu lakini wagombea dhaifu kama kina Regia Mtema, hivi mkipeleka wabunge dhaifu kama hawa mnatuambia nini kuhusu uimara wa chama?

Zaidi ya hapo, je ukweli kwamba hamna wagombea madhubuti unachangia CHADEMA kuchukua mapandikizi ya watu walioshindwa kupata nafasi kugombea ubunge kwa tiketi za CCM ?
Kiranga,
I would take Regia Mtema over Sofia Simba anytime. Sijui binti ya watu kakukosea nini.
 
Kiranga,
I would take Regia Mtema over Sofia Simba anytime. Sijui binti ya watu kakukosea nini.

Alichonikosea ni kugombea ubunge bila kuwa na uwezo, na kuwa na audacity ya kututangazia hapa wazi, na kurudia over and over kujonyesha kwamba ni mtupu.

Tatizo ni kwamba the pickings are slim indeed, our choice - between the Mtemas and Simbas- is no choice at all.
 
Tutajuaje hana uwezo? Mimi CV yake sina. Ila michango yake hapa JF imekuwa maridhawa.
 
Kiranga naye bana kwa kupenda chama cha mafisadi haujambo.

Chama cha Mapinduzi nimeanza kukichana tangu hujajiunga na JF hapa, wanaoijua rekodi yangu watakusaidia katika hili, na ninaendelea kukichana kila siku.

Tatizo ni kwamba we have this one track mind, if you are not with us you must be with the enemy.You guys cannot chew gum and walk.

Hamuwezi kukubali kwamba kuna watu hawana upande, wanaweza kubonda mediocrity ndani ya CCM na upinzani, hapo hapo wakapongeza mazuri ya CCM na upinzani.

I am about the issues, not parties. Especially in our environment ambayo parties zenyewe zina revolve around personalities, not policies.

Wewe chama gani kinaweza kuwa na siasa ya "Ujamaa na Kujitegemea" ? Ujamaa na kujitegemea haviendani pamoja, ukiwa mjamaa maana yake unaamini katika kutegemeana, ukiwa unajitegemea maana yake huamini katika ujamaa, sasa hii illusion ya "Ujamaa na Kujitegemea" kwangu mimi ni "Ujinga wa kisomi" tu.

Sasa unategemea mtu na akili zangu niamini katika upuuzi kama huo?
 
Tutajuaje hana uwezo? Mimi CV yake sina. Ila michango yake hapa JF imekuwa maridhawa.

Kwa vipimo vya Kiranga,

Tanzania hakuna mtu mwingine yoyote anayeweza kufanya chochote. Watu wote hawafai kwa vile wako chini ya kiwango alichoweka Kiranga.

Watu kama Kiranga wangekuwa kwenye position ya power ya kuamua nini kitumike duniani, watu wangekuwa bado kwenye stone age technology.
 
Chama cha Mapinduzi nimeanza kukichana tangu hujajiunga na JF hapa, wanaoijua rekodi yangu watakusaidia katika hili, na ninaendelea kukichana kila siku.

Kiranga,

the last I checked, wewe umejiunga baada yangu hapa JF. Unless kama ulikuwa unakichanachana chama kwa kutumia nguvu za giza, hujawahi kukichana chama cha mafisadi kabla sijajiunga hapa.
 
Tutajuaje hana uwezo? Mimi CV yake sina. Ila michango yake hapa JF imekuwa maridhawa.

Na kuji shoot herself kote kule uwezo? Na kulia lia kote kule uwezo? Na unnecessaruy beef zote zile uwezo? Kununua beef kwa bei rahisi nza watu waliomsaidia nako uwezo? Kutokuwa consinstent kwenye message nako uwezo? Kutaka kutuuzia mbuzi kwenye gunia kama watoto wadogo nako uwezo? Kum alienate Mwanakijiji 9anayemwandikia mambo) kwamba hafanyi kitu chochote nako uwezo? Kumuita Dr. Kitila Mkumbo basically mzushi live hapa JF nako uwezo? Ku expose inner shenanigans za CHADEMA baina yake Mnyika, Tundu Lissu etc nako uwezo? Kutukana Watanzania walio diaspora, ambao wengi walikuwa supporters wake, kwamba hawana mchango na waende kubeba box tu, nao uwezo ?

Kukimbia maswali hapa nako uwezo ?

Mpaka sasa hajatuambia kafanya lolote la maana zaidi ya ku suck up to party politics in a suspiciously opportunistic and social climbing way.
 
Kiranga,

the last I checked, wewe umejiunga baada yangu hapa JF. Unless kama ulikuwa unakichanachana chama kwa kutumia nguvu za giza, hujawahi kukichana chama cha mafisadi kabla sijajiunga hapa.

Kwa hiyo ulikuwa unafuatilia maisha yangu kabla hata sijajiunga hapa au?
 
Mpaka sasa hajatuambia kafanya lolote la maana zaidi ya ku suck up to party politics in a suspiciously opportunistic and social climbing way.

Haya uliyaona wewe tu? Yeye yuko upande mwingine na wako. Huoni chochote bora ndani ya chadema kwa vile wewe uko okay na status quo (chama cha mafisadi).
 
Kwa vipimo vya Kiranga,

Tanzania hakuna mtu mwingine yoyote anayeweza kufanya chochote. Watu wote hawafai kwa vile wako chini ya kiwango alichoweka Kiranga.

Watu kama Kiranga wangekuwa kwenye position ya power ya kuamua nini kitumike duniani, watu wangekuwa bado kwenye stone age technology.

Wapi nimesema hivyo ? Naomba unionyeshe hapo mahala, ama sivyo kubali uongo na uzushi na uombe msamaha.
 
Haya uliyaona wewe tu? Yeye yuko upande mwingine na wako. Huoni chochote bora ndani ya chadema kwa vile wewe uko okay na status quo (chama cha mafisadi).

Siwezi kuona status quo iko sawa halafu nikawa naisema status quo hiyo, nitakuwa naji contradict.

Tatizo lako uko selective katika kusoma na ku acknowledge posts zangu.

Nikiblast CHADEMA, unanote mara moja. Nikiiblast CCM na status quo hata huoni.

Au unabisha siwezi kukuwekea posts nilizoiblast CCM na status quo hapa? Mbona unataka kuandikia mate wakati wino upo?

Wewe umezoea fanaticism, akija mtu na kuangalia vitu with an objective eye, na kuona mabaya na mazuri ya pande zote, CCM na upinzani, unafura kwa upinzani kusemwa.

I will never subscribe to groupthink.
 
Ninaziona sana mkuu.

Au unabisha siwezi kukuwekea posts nilizoiblast CCM na status quo hapa? Mbona unataka kuandikia mate wakati wino upo?

Kiranga,

Unajua hata Nyerere alikuwa anawablast sana ccm lakini akimaliza hapo anazunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya Mkapa?

Wewe umezoea fanaticism, akija mtu na kuangalia vitu with an objective eye, na kuona mabaya na mazuri ya pande zote, CCM na upinzani, unafura kwa upinzani kusemwa.

I will never subscribe to groupthink.

Kiranga,

wewe ndiye unataka groupthink hapa. Fuatilia kwa makini huone kuwa unalazimisha watu wakubaliane na mtizamo wako kuhusu wapinzani.
 
Ninaziona sana mkuu.

Kiranga,

Unajua hata Nyerere alikuwa anawablast sana ccm lakini akimaliza hapo anazunguka nchi nzima kupiga kampeni kwa niaba ya Mkapa?

Kiranga,

wewe ndiye unataka groupthink hapa. Fuatilia kwa makini huone kuwa unalazimisha watu wakubaliane na mtizamo wako kuhusu wapinzani.

Kama umeelewa hili utaelewa maana ya constructive criticism, na kwa nini mtu aki criticize upinzani maana yake si lazima awe hapendi upinzani.

Na kama Nyerere alivyo blast CCM na baadaye kumkampainia Mkapa, ndivyo hivyo hata mimi na blast CHADEMA lakini bottom line nasema "VOTE SLAA"

Au na hili nalo hujaliona? Hizi criticism kutoka kwangu zinatakiwa kumuandaa Slaa na CHADEMA, na wala hazina lengo baya.

Tukikataa constructive criticism hatutajifunza, tusipojifunza hatutakua.
 
Bado nasubiria kuiona hiyo ya VOTE SLAA. Inaonekana kuna moja ya posts zako sijaisoma.

Au na hili nalo hujaliona? Hizi criticism kutoka kwangu zinatakiwa kumuandaa Slaa na CHADEMA, na wala hazina lengo baya.

Tukikataa constructive criticism hatutajifunza, tusipojifunza hatutakua.

Hizi kejeli unazozitoa kwa Regia ndio constructive criticism?
 
Kama kawaida yetu wabongo, tunatetea mediocrity na kukataa mtu yeyote anayekuwa dedicated to excellence with a critical eye.

Ndiyo maana hatuwezi kuendelea.

Unachanganya mambo, the fact kwamba JF si academic journal haimaanishi kuandika bila paragraph wala kufuata kanuni za uandishi ni sawa tu, ukiandika hivyo popote watu tutakuona huna umakini.

Na kama unagombea urais tutaona ndio kabisa, unashindwa presentation tu, je complex issues utaweza kung'amua ?

Critical eye ningesapoti kama Slaa angekuwa anaulizwa kuhusu maharagwe anajibu vitunguu, lakini linapokuja suala la kueka paragraph na ku-punctuate, hiyo sio kazi ya rais au mgombea urais. Watu kibao wamefanya kazi ya kuandika maripoti na mabarua, lakini kwenye kuremba na kuikamilisha unampa draft secretary amalizie, hio sio kazi ya kila mtu. Sasa sioni umuhimu wa hoja yako kui-extrapolate kwamba ni ku-accept mediocrity. Narejea tena, HAPANA.
 
Back
Top Bottom