There is some truth to what you say--not exactly that way-- the way, you as a person put it...
The world as 'semi-isolated' realm of 'human experience'--true...
The world as a 'Prison'--Not really so...
The world 'being free' some time ago--this depends upon the 'depth of rational interpretation' pertaining to the notion of 'Being Free/Freedom'...
Being 'Hijacked' and 'Conquered'--not really the case...
Yes the Earth, as a planet from a certain space point of view, is being 'monitored' and 'nurtured'. All this within the viable possibilities -- capable of being both, 'good and/or bad terms'; thus depending upon one's 'depth of comprehensible rational interpretation'.
In overall, those who watch over the Earth, most of them--and within the military capability to intervene if the need occurs, do not really hold 'bad intentions' towards Earthly Affairs and Global Self Determination. However, there are independent 'verdants' in the 'cosmic ecology'. Those 'unwise' who can 'mingle' with Earthly Affairs for private interests and detrimental to 'the temporary Earth game'...
It is just one contextual matter pertaining to the '
exo-politics affairs'... There is a Cosmic 'United Nations' above for certain 'good reason'; not necessarily 'infallible cause' for 'the well beingness of Galactic Ecology'...
'Umoja wa Mataifa' uliyo Juu, na tena wenye kuyatupia macho masuala ya Dunia, mambo yake kuhusu uangalizi wake huo una mengi ambayo hapa Duniani watu hawajaandalika kuyafahamu--lakini sasa, 2024-2036, yanakwenda kufahamika na hakuna wa kuweza kulizuia hili tena.
Duniani, unayoyaona kama 'Umoja wa Mataifa'--harakati za kujenga 'Umoja' na 'Amani' Duniani ni mawazo yaliyoshawishika kutoka 'Juu'... Zipo kanuni zinazozuia 'Umoja wa Kimataifa wa Makabila/Mbari za Manyotani' kuingilia moja kwa moja masuala mbalimbali ya maisha duniani--huitwa >'
Elekezo Primu'<.... Elekezo moja lisilo na mbadala kuheshimiwa.
Ni 'elekezo primu' ndlio kwa namna fulani linafanya kama 'maisha duniani' kuwa kama kifungo kwa kuwa yeyote anaweza kutafsiri kumbe 'wadau' wanaona kila kitu lakini '
wanakausha'--inakuwa aje?
Kuna mengi ya kuyafahamu na kuyaelewa ili kumalizana na shauri la kujibu 'mikausho ya wadau kutoka Juu'...
Kiuweli binadamu wote ni raia wa ulimwengu wote mzima--kuzaliwa na kuishi Duniani hakufanyi mtu kuwa wa Duniani peke yake--hayuko kungine kokote...
Sisi wote ni 'Mbegu Nyota'--watu tunaoishi kama wanadamu lakini tunaishi na kungine pia japo fahamu zetu za kawaida zimefumbika macho...
Ni muktadha wa Elimu 1.0, Elimu 2.0 na Elimu 3.0 ndiyo 'itakayotuweka sawa'--kuja kufahamu haya yote na zaidi; hili ndilo hasa kiini cha Yesu kupata kusema
"Tafuteni Ufalme wa Mbingu na Haki yake na mengine mtazidishiwa"... Ufalme wa Mbingu uko ndani yetu, ni asili ya sisi kuwa huku na kule, jana-leo-na kesho... Kila mtu anasehemu ya yeye yenye asili ya kutokufa--asili hii ndiyo fumbo la 'Uzima wa Milele'; Duniani, sehemu ya mchezo wa kuishi hapa, ni kuyasahau haya yote na kuanza '
kuhangaika na Dunia'...
Kwa kuwa humu, haya yanakuja kutokana na habari za vitabu vifanyavyo Biblia--kuna mengi yataanza kufahamika kuhusu habari za kwenye masimulizi ya Biblia--'kupanga na kupangua' yale yote umma wa wasomi, wadadisi na zaidi waumini umekuwa 'ukisadiki' ama 'kudhani' ni ukweli wa mambo kama vile inavyowasilishwa hapa na pale nakumbe sivyo hasa...
Watu wa JUU, wanaujuzi na utalaam wa mengi kupita hata kawaida tuliyoizoea hapa Duniani. Wanaweza kulala kwenye 'viambaza-mwili vya maji ama hewa' na halafu wakazaliwa Duniani kama watu, kuishi toka kuzaliwa hadi kufa; Ama wanaweza moja kwa moja 'Wakashuka' kama wanadamu na kuishi na wanadamu na tena kama wanadamu kwa muda unaowafaa wao na 'mipango yao'...
Hao wanaoweza kushuka moja kwa moja na kuishi na wanadamu ni wale wenye 'Miili na Mionekano' kama wanadamu; lakini huko JUU siyo kila kiumbe-mtu ni 'Mwanadamu'...
Duniani, historia ya 'Watu kutoka Juu' kushuka duniani na kuwa Miungu miongoni mwa wanadamu si habari ngeni... Watu hawa huitwa 'Miungu' ama hata 'Malaika'--pia 'Askari wa Jeshi la Mbinguni'...
2 Wafalme 23:4
View: https://www.youtube.com/watch?v=fAvAQrDOE6k
Kuna namna basi, hata pamoja na uwepo wa 'Elekezo Primu'--mara kwa mara watu wa Juu hulivunja na kuchangamana na watu wa Duniani na basi wakati mwingine kuhamishia 'uhasimu' wa 'Wana wa Miungu' kuwa na baadhi ya watu na mataifa hapa duniani...
Mambo mengi yanayosomwa kwenye habari za simulizi za Biblia ni drama za 'Wanadamu' na 'wana wa Miungu'... Iwe habari za 'mambo ya makuhani' na utundu wa 'madhabahu': mambo ya 'Maagano' ama/na 'upatanisho'--mawasiliano ya kimaingiliano ya utamaduni na ustawi na viumbe watu kutoka Juu...
Dini zote ni muktadha wa 'Miundo thibitifu' ya Utamaduni na Ustawi wa watu... Ni biashara isiyobudi kuwepo kulingana na 'ufahamu pofu/hafifu wa kibinadamu' dhidi ya urithi wa kimbingu uliyo ni mawezekano wa wanadamu wote-- 'Uwezo/Utukufu/Maarifa/Ufahamu wa Uzima wa Milele'.
Karne hii ya 21, hili ndilo leta shauri la 'Kurejea kwa Kristu'--Kristu ni Ufahamu; Ufahamu unakomboa mtu kutoka kwenye 'jela ya kufikirika'--
Matriksi...
Hmmm
Mark 3:11
View: https://www.youtube.com/watch?v=SDkAGkd4NLc