Je Eatv/Ea Radio walikoseana nini na Diamond

Mziki wetu hauwezikufika kokote .kwani media zetu zenyewe hazpromote wasanii wetu. Tunategemea media za nje..MTV base na nyingine. Mkulu ana kazi kweli ya kumaliza hizo tofauti. Kiba vs mond, Eatv vs mond, ruge vs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Hata kabla Diamond kutoa hiyo kauli walikuwa hawapigi nyimbo zote za WCB
- Hata kabla ya EATV Awards mahusiano yalikuwa siyo mazuri, kama kutoshiriki kwani wasanii wa WCB tu ndio hawakushiriki ?

SABABU KUBWA: Duller anayeonekana ni mtu mwenye ushawishi sana hapo EATV ni TEAM KIBA ana CHUKI ZA WAZI WAZI na DIAMOND. Kama huamini msikilize kuanzia leo hata kwa vipindi 3 tu utajua. Suala la Tuzo lilikuwa ni sababu tu, ALIKIBA amewahi KUKATAA Kujibu INTERVIEW na kumjibu SAM MISAGO kwa kiburi na dharau lakini HAWAWEZI kumwekea BEEF ila ingekuwa ni WCB ndo wamefanya basi ingekuwa ni TICKET na SABABU BEEF
- In short sababu kubwa ni MAFANIKIO

- Binafsi naona kwa ukubwa walionao na umaarufu wao haiwaathiri sana kwasababu hata nyimbo zenyewe WANAPIGA BURE hawatoi MIRAHABA.

Yaani Diamond anamafanikio kuliko eatv ? Haupo serious .Diamond ni msanii ataimba kipindi chake kitapita ila hicho atakiacha kama alivyokikuta
 
Hata EATV itapita. Ilikuwepo RFA FM ikapita, leo ipo CLOUDS FM
 
Fanikiwa na wewe utajua maadui zako. Tanzania hatupendi watu wafanikiwe...!! Ukifanikiwa utachukuniwa tu.
Na ukitaka uchukiwe zaidi, fanikiwa alafu uwe na dharau

Kumchukia au kumpenda aliyefanikiwa ni suna. Yaani hupati wala hukosi chochote. Ila kumchukia aliyefanikiwa na kuonyesha dharau, huleta faraja na furaha moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- Hata kabla Diamond kutoa hiyo kauli walikuwa hawapigi nyimbo zote za WCB
- Hata kabla ya EATV Awards mahusiano yalikuwa siyo mazuri, kama kutoshiriki kwani wasanii wa WCB tu ndio hawakushiriki ?

SABABU KUBWA: Duller anayeonekana ni mtu mwenye ushawishi sana hapo EATV ni TEAM KIBA ana CHUKI ZA WAZI WAZI na DIAMOND. Kama huamini msikilize kuanzia leo hata kwa vipindi 3 tu utajua. Suala la Tuzo lilikuwa ni sababu tu, ALIKIBA amewahi KUKATAA Kujibu INTERVIEW na kumjibu SAM MISAGO kwa kiburi na dharau lakini HAWAWEZI kumwekea BEEF ila ingekuwa ni WCB ndo wamefanya basi ingekuwa ni TICKET na SABABU BEEF
- In short sababu kubwa ni MAFANIKIO

- Binafsi naona kwa ukubwa walionao na umaarufu wao haiwaathiri sana kwasababu hata nyimbo zenyewe WANAPIGA BURE hawatoi MIRAHABA.
Dulla kichwa maji sana anafikiri kumchukia Diamond ndio maisha yake yatanyooka.
 
Kila akiwa kwenye kipindi lazima aponde mara wasanii fulani wameacha kuimba bongo fleva original, wanaimba kinigeria. Sasa mtu wake leo naye kaanza kuimba kinigeria, kifaransa na kukopi kihispania huwezi kumkuta ANABWABWAJA
 
Dulla planet ndo ...cjui.... Nyimbo zote za wasafi hazipigwi pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo halianzii kwa dullah, dullah ni MTU Mdogo sana kwa media kubwa kama ile, kwanza ni uongozi wao pili producer Wa kipindi, dullah na presenters wengine ndio wanafuata DJs, sasa kama kuna conflict of interest unataka amwage kitumbua chake, chanzo kikubwa n kutoheshimu hiyo media kama wanavyofanya media nyingine na walishasema hawahitaji media ili muziki wao usonge, ukiwa na akili timamu huwezi wapigia nyimbo zao kwani wao mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom