- Hata kabla Diamond kutoa hiyo kauli walikuwa hawapigi nyimbo zote za WCB
- Hata kabla ya EATV Awards mahusiano yalikuwa siyo mazuri, kama kutoshiriki kwani wasanii wa WCB tu ndio hawakushiriki ?
SABABU KUBWA: Duller anayeonekana ni mtu mwenye ushawishi sana hapo EATV ni TEAM KIBA ana CHUKI ZA WAZI WAZI na DIAMOND. Kama huamini msikilize kuanzia leo hata kwa vipindi 3 tu utajua. Suala la Tuzo lilikuwa ni sababu tu, ALIKIBA amewahi KUKATAA Kujibu INTERVIEW na kumjibu SAM MISAGO kwa kiburi na dharau lakini HAWAWEZI kumwekea BEEF ila ingekuwa ni WCB ndo wamefanya basi ingekuwa ni TICKET na SABABU BEEF
- In short sababu kubwa ni MAFANIKIO
- Binafsi naona kwa ukubwa walionao na umaarufu wao haiwaathiri sana kwasababu hata nyimbo zenyewe WANAPIGA BURE hawatoi MIRAHABA.