Wala sio u turn, hiyo barua ni fake.Hiyo press releases wameishaikataa kwamba sio halali. Naona wamepiga U-turn baada ya kuona hii itawaletea shida wakiitangaza
Ibara ya 150(2)(b) ambayo inazungumzia hali ambapo watu wawili au zaidi wanaweza kuwa wanashikilia madaraka ya kazi moja kutokana na uteuzi unaofanyika katika mazingira fulani; hata hivyo, inasema kwamba inapohitajika kutekeleza shughuli ya nafasi hiyo, aliyeteuliwa mwisho ndiye anayehesabiwa kuwa na dhamana pekee ya kazi hiyo.Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nk
Hatuna uzoefu wa rais kufiwa, huu ni msiba wetu wa kwanza.Bila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nk
Kuondolewa kwa Nchimbi kuna uhusiano mkubwa na huu msiba.Kwanini hii isingetokea NCHIMBIE AKIWEPO!?.... KMMMK!
Mkuu ww unawezaje kuwa pande zote, siasa upo, vyakula, afya, sayansi, usikute hadi mambo ya uchawi unayajua πBila shaka huu ni mjadala wa kikatiba zaidi na wala sio mjadala wa kiitifaki. Je, katiba inatoa masharti gani na urefu gani kuhusu likizo za Rais? Je, katiba inasemaje juu ya eda ya Rais?
Lakini kwa nini Urais wakaimishwe watu wawili badala ya mmoja kama inavyotaka katiba kuwa huyo aliyekaimishwa kama naye hayupo basi atakaimu wa chini yake? Hii ya kuwakaimisha watu wawili kwa wakati mmoja inaelekezwa na matakwa ya kifungu gani cha katiba?
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 8 Septemba 2026; Saa 5:40 jioni.
Waione mawakili: Helen Kijo-Bisimba, Boniface Anyisile Mwabukusi, Ado Shaibu, Paul Kisabo, Addo November Mwasongwe, Hilda Stuart, nk
Natamani sana nipate mwalimu wa kunifundisha uchawi, niutumie kwenye shughuli zangu za kilimo, niwe nafanya predictions, vumbuzi, tatuzi, n.k kwa uchawiUchawi nimeacha/nimepumzika/nimestaafu mkuuπ
Msiba wenu na nani?Hatuna uzoefu wa rais kufiwa, huu ni msiba wetu wa kwanza.
πππ Inaonekana una hasira sana mkuu,Msiba wenu na nani?
Siyo fake... Ni wahuni wanaogopa kufanyiana uhuni... Yaani serikali ya sa hivi haina tofauti na kile kikundi cha YangaWala sio u turn, hiyo barua ni fake.